@madebelidai: MIAKA 20

Madebe Lidai
Madebe Lidai
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 July 2025 05:52:04 GMT
303113
21072
453
1640

Music

Download

Comments

goldboy.martin
Goldboy :
Hiv wewe una akili kweli yaan mwanamke hata kama anakaa ndani tu wee kaz za nyumbani unaweza kuzifanya kudek kufua kupika una?ani ni kaz ndgo au unakuta vimepikwa unakula tu kwa sababu umeleta hebu hacha content za kijinga wanawake wanakaz kubwa mno.
2025-07-25 15:55:39
24
mrsmbaarak
Mrs Mbaarak :
wanawake wenzangu tubadilike na kuchunga ndimi zetu
2025-07-26 19:45:34
1
user4866701950120
zacharia haji :
ndo yaliyo nikuta mwanangu na akaniacha
2025-07-27 00:13:30
0
blandinabernad
Ms blandi 🦋😜 :
Sasa wew mwanaume unataka kuhudumiwa umekua demu?
2025-07-25 14:36:43
4
stela.danawilison
Stela Danawilisoni Swai :
sokweli mm ni meishinae 5 na mudumia kilatutu kwazi yy mpaka wazazi wake nabado akanibia bilioni 20 ss ivi anapinga dobe mabibo sokoni
2025-07-25 07:39:12
9
babbyreen4076
baby renee :
natafuta rafiki
2025-07-25 17:27:30
1
mwananchiaccessories532
mwananchiAccessories532 :
Toka umeachwa na mkewe umeachwa na misemo pia😂😂
2025-07-25 08:05:09
30
omanoman6548
Oman Oman :
Tumeumbwa kwa ajiri ya kudumiwa sio kudumia😂😂😂😅😅
2025-07-25 11:57:48
22
dir_salimlee
MR 🇹🇿 ENERGY😊 :
🤔🤔🤔🤔🤔kwan uyu ana kazi gani mbali na sanaaaa
2025-07-26 20:49:50
0
dalali.leonard
DALALI LEONARD :
KINACHO TAKIWA UWE KARIBU NA MKEO NA UJUWE KUMPENDA KWANI UKIFANYA IVYO ATA AKIPATA PESA ZA URISI KWAO ATA KUPA WEWE NDIO UPANGE MATUMIZI NA NDIO UTAKUWA MNUNUZI MKUU WA MTAKACHO NUNUA WANAUME WENGI SISI WALAGAI NA WANAWAKE WAME TUTAMBUA NDIO MAANZA WANA ZINGUA MUNGU AWA BARIKI WANAWAKE WOTE 🙏✍️🇹🇿❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2025-07-25 11:42:56
2
amiko3951
Amiko :
Kwli mtupu 🤣🤣
2025-07-26 02:19:44
3
vicky967217
vicky96 :
kwani kuzaa sio kazi au wewe ndio ulikua unazaa
2025-07-25 11:04:57
1
ramathanmtoo1
@ramathanmtoo1 :
kaka umeongea
2025-07-26 17:09:11
0
user70734267560953
N G A D U. ESCOBAR 🧸 :
ITOSHE KUSEMA MLEVI HASEMAGI UONGO🤣🤣
2025-07-25 14:44:32
7
khaleedsaleh5
Khaleed saleh :
mjomba mm miaka 18 alichonifanyia anajua mungu hawafai kabisaa
2025-07-25 10:49:33
4
tatu.juma8997
Tatu Juma :
Nimajukumu yenu sisi sio wakuwahudumia nynyi
2025-07-25 08:01:39
5
erick.puck8
erick puck :
aaa ukweli mjomb😁😁
2025-07-25 15:25:32
1
qeen222d
qeen222d :
ukijua kuna kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu huwezi jiuliza hili kwanini
2025-07-25 18:46:12
0
robertdavic
ROBERT-🤖✨️ :
Akili za wanawake maskin wanafoka sana kwemy comment 😂😂😂
2025-07-26 20:45:49
0
user6813819301009
user6813819301009 dafaa :
kwali kiongozi
2025-07-26 10:29:28
1
mama.zuchu
Mama zuchu :
ndoo maana yakee madebee😂😂😂😂😂😂
2025-07-26 18:06:22
0
user26393428802088
diego :
lakin bado mnataka asilimia 50% yaani mnajilinganisha na wanaume
2025-07-25 09:45:45
1
momangel49
momangel :
mmmh ila chanuo nijasir jmn 🤣🤣 mm uyu ata ningepewa na pesa siwez kumvulia hata kiatu
2025-07-26 19:27:41
0
safarigwaya
Kenyan davido :
siku mbili tuu
2025-07-25 19:12:12
2
khassodilch81
@kassodilch18 :
fact
2025-07-26 10:03:18
0
To see more videos from user @madebelidai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About