@fraverofficial_: Weekend yako inaendaje 😂😂🔥🔥🔥 #fravercever #fraver

fraverofficial_
fraverofficial_
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 July 2025 08:04:46 GMT
332007
28438
502
314

Music

Download

Comments

dayooo_69
dayooo_69 :
unayesoma hii comment 🥰 mungu akulinde 🙏
2025-07-25 10:31:12
471
salumemes
salu memes :
Yani huyu dogo rema ni kama somo la mathematics utake usitake utaisoma tu🤣🤣
2025-07-25 09:34:09
562
eiasmirajae
Emkey brother kingi :
ikijama umujiwi kanimwizi jambazi 😂😂😂😁😁😁😁🥰🥰
2025-07-29 21:03:53
1
petrouser087113714p
petro sanga🇹🇿 memes swahil :
msanii anaimba afu🤣 Tajiri anatuchamba😂😂 kama unamkubali dogo Rema gonga like
2025-07-25 15:10:20
172
phinoolamide1
phino olamide :
Watanzania tujitoe ufahamu kidogo tuchukulie huyu ni msanii mkubwa kwahiyo kila akitoa goma hata kama sio kali sisi tulisuport kwa 100% ili jamaa aikoe familia yake 😢asirudi kule alipotoka😊😊🙏
2025-07-25 10:15:57
147
userukudofox
ukudo fox🐕🐕 :
wanaosema dog rema ni msukuma 2juane😂😅
2025-07-25 13:08:27
16
frankjoseph345
truck driver :
huu wimbo wameukosea wangeitia naile michambo ya dotto
2025-07-25 08:50:24
100
user46722580363984
THe princess 🦋🌺🫶 :
mtu sio nyau mganga mungu mitii shamba imaniy 😄👏👏
2025-07-25 13:13:57
18
2chirrieh
PRINCE CHACHA G :
I like the energy 💪
2025-08-02 08:40:14
1
actormasunzu1
Actormasunzu :
SWALI: hivi Marioo alishawahi kukaa na Paula kuzungumzia ile issue ya Harmonize na Paula iliyoleta mzozo kipindi kile na je Paula alimjibu nini?
2025-07-25 19:43:14
2
sete950
chiizi :
Watanzania tujitoe ufahamu kidogo tuchukulie huyu ni msanii mkubwa kwahiyo kila akitoa goma hata kama sio kali sisi tulisuport kwa 100% ili jamaa aikoe familia yake 😢
2025-07-25 12:44:11
45
emmeoman
eminem♤ :
mbunge mtarajiwa😅
2025-07-25 08:13:15
29
mentboe_deyoung
mentboe_de boss kid :
TULOONA MBALI TOKA WIMBO WA KWANZA MPOO🔥🔥
2025-07-25 12:59:55
11
moses.mwafwenga
moses mwafwenga :
mpaka watamuelewa tu dogo remaaaa
2025-07-25 08:16:26
121
ommy_mzy2
OMMY_MZY2 :
me nkajuanga ni niwike nisi wike kama jogoo😅😅😅😅
2025-07-25 15:18:53
9
augustino7850
augustino :
Huyu jamaa ata simwelewagi
2025-07-28 16:12:39
1
madhalykhan
Madhaly_Khan :
Tushauriane jmn nan tukimuwah anapona kat ya doto magari ama msanii wske😭
2025-07-25 15:41:59
7
kambeboy0
Blade Sammyos :
Rema kumbe mwambaa
2025-07-25 20:49:21
5
toss_official856
toss_official856 :
dgo rema tyr kweny campaign za baba levo😂😇
2025-07-25 09:55:17
13
jay_brand8
JAY_BRAND✅ :
rema kumbuka tumesoma wote darasa la 6 nikumbuke😂😂
2025-07-25 16:02:32
7
paulmichaelpaulmi
Paulmichael Paulmichael 2003 :
sapoti sana kwadogo rema
2025-07-25 20:12:44
4
user55683132770861
mwendra junior-251 :
mmeona sasa mungu kama kapanga lazma iwe
2025-07-25 09:19:27
6
suitkalistore
mo :
msanii anaimba manager anachamba 😂😂
2025-07-26 23:18:32
0
mayunga866
Mr mayunga :
huyu dogo ni kama dagaaa utake usitake utakula tu,
2025-07-25 18:15:43
5
mafuture.badman
Mafuture Badman :
Baba levo unalolote apo Unamchokoza doto keto
2025-07-25 09:23:58
6
To see more videos from user @fraverofficial_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About