@kili.kilinton: Twende kizenji sasa #goviral #fffffffffffyyyyyyyyyyypppppppppppp #lijendi #zecomedy @Joti_official @Emmanuel Mgaya @Ally Comm

Kili Kilinton
Kili Kilinton
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 July 2025 08:39:29 GMT
232283
10773
195
1184

Music

Download

Comments

calvin_tz1
calvin :
zubezube mpunyenye laukana siwenye
2025-07-25 16:30:46
39
saidasaid026
Lady honey :
Alipokuja Znz alibonyezwa kizenji na wazenji mpaka leo anaogopa kuja .na wala hasemi alichofanywa, chezea wa Zenji weeee!!!
2025-07-25 16:04:15
7
abuuhuthai
Abuuhuthail first :
mshenzi ww jifundishe kinanzibari kwanza ndio utuige
2025-07-25 21:17:26
2
sniper3d66
Balad 101 :
Kwahiyo huyu alipata umaarufu kwa kutufanyia inda Wazanzibar
2025-07-25 20:31:49
4
dulladsm
Abdulwahab :
alikuwa muongo mpumbavu huyu😀😀
2025-07-25 15:50:33
16
mzee.wa.jambo
Mzee Wa Jambo :
😂😂😂😂😅😅😅😅huyu jamaa alikuwa anachekesha sana
2025-07-27 06:19:44
0
ziyaad570
ziyaad :
huyu joti msenge
2025-07-25 19:58:37
1
user8047654841081
Rahma shaweji :
hupatii kabisa ukiongea inajulikana wewe si mzenji
2025-07-25 20:37:59
2
khalil.mohd29
khalil mohd :
wapemba hatuzungumzi ivo
2025-07-25 14:18:18
4
user6771614940759
user6771614940759 :
watoto wa elfu 2 mtupishe😂
2025-07-25 17:22:58
24
khatibubendera2
khatibubendera2 :
Yaani tunakwenda mabandani kumuangalia duh! joti ulitukomesha kwa vicheko, Asha ngedere😂😂😂
2025-07-25 14:17:05
15
user96382506696288
user96382506696288 :
munaona kama nyie vichogo kama mnadharau alafu mnasema sisi ndo tunawadharau nyie hamuoni au
2025-07-25 16:19:24
2
hakimsalvador.dem
hakimsalvador demateo 🇰🇪 :
mdebwedoooo🤣🤣🤣🤣 huyu kijana kabonyeza kizenji
2025-07-25 10:21:38
7
user4043130395220
rajab assaedy :
fundi huy
2025-07-27 19:33:02
0
shaddy._
Shaddy :
Hafish bai hafish, Mantaala tinyunyunyu 😂😂😂 Joti alikuwa anajua sana Kutupanga
2025-07-26 08:38:45
2
___sefo___11___
Saif :
Fanya urud the comedy show maana kina mpoki hawana jipya
2025-07-25 13:49:44
4
naswolf19
UFO-320i :
Yan hapa ulikua hata ukinigusa kichwa nakuna mguu😂😂😂
2025-07-25 23:07:53
3
porchin_tz
porchin tz :
😁😁Kuna ile "filah ,fil lala jafilafikala"" aliyekula kala japokaonja🤣🤣🙌😂 way back 2009 iyo
2025-07-27 00:16:02
1
chuma2561
chuma :
wa 200 mnaona vumbi tu hapo😂😂
2025-07-27 05:49:34
1
swidic.swamad
swidic swamad :
umejitahidi ila wapemba me nahisi hawaogei ivooo wala wazenji
2025-07-26 20:28:54
2
zakaria_2410
Zacka_Xhaka24👑 :
ila kunawatu Hawajielewi... anakasirika tuu hiyo ilikua comedy tuu mbona mnachukulia siriaz au Mlikua hamja zaliwa au Mlikua hamna hata Tv.. ety mtu kabisa Unabishana na Joti wa Ze comedy 2010😅😅
2025-07-26 23:42:10
2
hajji.suleiman5
Hajji Suleiman :
mtume wetu anasema mwanaume yeyote anaijixhabihixha na mwanamke bc mungu kamlani na mwanamke vilevile
2025-07-26 18:34:42
1
mkalihodari
Mkalihodari :
Alidinywa uyu na wazanzibar 😅🤣😂
2025-07-26 22:03:32
1
rashidally392
Rashid Ally :
watu wa fursa sitaki mnifuate 🏃
2025-07-25 20:50:55
2
bongeboy2
bongeboy :
ili utrend ni lazima upite na wazanzibar kwanza☺️☺️☺️
2025-07-26 20:35:46
1
To see more videos from user @kili.kilinton, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About