@martine.james5: RAIS NA SERIKALI YAKO,HUNA SIFA YA KUIONGOZA NCHI HII AWAMU NYINGINE?. ISHARA NI HII. "DENI LISILOLIPIKA TZ". HUU NI MZIGO MZITO UMETUTWISHA WAAFRICA,WALIMA NYANYA,MACHINGA nk.
Rudi shule ukajifunze kuongea kwanza ujitambue unachokiongea maana naona kama hujisikii unachokiongea wewe Dunduka
2025-07-25 23:43:47
3
Philbert :
watanzania tupo na ww mpaka ufeee
2025-07-26 03:36:44
34
Irene :
apewe ulinz m2 wa mung
2025-07-26 10:48:23
20
daudirubibi :
Tuko Pamoja MTUMISHI WA MUNGU.
2025-07-26 06:02:57
106
elishaerasto160 :
Mimi nipo na wewe mpaka wakuteke
2025-07-25 17:22:00
52
BUDA masai :
ongopa mtanzania 🇹🇿 akichoka
2025-07-26 16:07:26
7
Enock :
broo mm c mwanachama ata kdg ila unachosema ni sahihi lakin nakuonea huruma
2025-07-25 22:38:36
32
beomarko :
muweke Mama yako mwenye hizo sifa inazozitaka tuone
2025-07-25 20:01:12
2
rajiijeiala :
do huyu mshuwa kateta jambo ila kitakacho mtokea siju mana hii nchi imejaa damu ime jaa zambi ime jaa ulimbukeni walio soma niwengi ila wanao pewa nchi waiongomze ndio Balaa mmi nina Imani yakuwa kama mam alisha wahi kuwa makamu ya laisi au wazili mkuu inawezekanaje achukuwe fomu ya ugombea au katiba ilisha badilisha nakama katiba ilisha badilishwa basi watutangazie ssi wananchi tujue
2025-07-26 06:37:28
16
To see more videos from user @martine.james5, please go to the Tikwm
homepage.