@gapowertv: BREAKING NEWS : 🇺🇸 Taarifa Kwa Umma.!!🕯️ Kijana Aliye Fahamika kwa Jina La #Rigo ( Amisi Amido ) Amefariki Dunia Leo Mchana Uko State ya #ARIZONA Kwenye Ajali Ya GARI 🚘 Kijana Ni Mbembe Wa Baba Na Mama … ^ ‘Marehemu Ameishi Duniani Miaka 21” Tu More Updates Utazipata Hapa GA Power TV GA POWER TV Tunatowa Pole Kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki Kwa Msiba Huu Mkubwa Pia Na Jamii Nzima Ya Wabembe Hapa Nchini Marekani ..!! ) Rest In Peace #RIGO ….) 💔🪦 #SIDEBOY ( ✍️ @side_mnyamwezi1 ) #gapowerdigital #GAPOWERTV #restinpeacerigo
gapowertv
Region: US
Friday 25 July 2025 19:28:40 GMT
Music
Download
Comments
pitchen al athuman masoud :
Innalillah wayna illah rajiun😭😭😭
2025-07-25 20:15:44
0
JEMS GOLD🤝🫶🤝 :
Nikaaj wa ARIZONA ILA AJAFIA ARIZONA Tv Zenu ziwe zinatoa tarifa kamili
2025-07-25 20:42:59
0
Claude Shabani :
poleni sana
2025-07-26 20:59:35
0
MAMA YA BABY 🧑🍼❤️ :
Poleni sana kweli naumia sana kweli Amisi R.i.P
2025-07-25 21:24:28
1
Isabella 🇧🇮👀 :
pole san
2025-07-25 20:30:52
0
MERRY_IDD :
Polen family
2025-07-26 00:29:28
0
Rose victory :
Pole sana kwa family
2025-07-26 00:24:30
0
amisa delice chombo ya boss :
pole sana
2025-07-26 05:09:52
0
Grace ❤️Biv💕♾️ :
😭😭😭Pole kwa family
2025-07-25 20:28:55
1
Mchung Mbuto :
pole kweli inasikitisha kweli kwa nini sisi vijana tu
2025-07-25 20:22:34
0
Da_Mira🥰😍 :
Eti alikuwa 25! Wow 😭😭😭😭
2025-07-26 01:03:41
0
Mmonga wa Asumani :
Pole sana kweli
2025-07-25 21:44:13
0
happy❤️❤️ :
Poleni sana😭😭😭😭😭
2025-07-25 20:02:40
0
Jenny :
Umemkuta mama kweli
2025-07-26 00:15:26
0
Lauriane veronica :
Poleni sana kwa familia
2025-07-26 00:00:17
0
Eugeni Rashidi :
Pole sana 😭😭😭😭😭
2025-07-25 20:06:22
0
wandekebitondelul :
poleni sana
2025-07-25 21:01:28
0
Feza Amani :
Pole sana kweli
2025-07-25 23:14:51
0
TEREZA KANDOLO :
Poleni sana
2025-07-26 18:15:21
0
Beatrice :
pole sana
2025-07-26 17:47:11
0
Mama ni mama❤️😘🌹🥀🇨🇩 :
Pole sana
2025-07-25 22:46:01
0
user9341445170086 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-25 19:43:55
1
Sifa Aboke :
😭😭😭😭
2025-07-25 19:55:42
1
chantaleog :
😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-07-25 19:50:25
1
To see more videos from user @gapowertv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.