@just_michelle0: Yaani hadi nimeshika mimba😂aaaaah😂@KFC Kenya #justmichelle0 #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideos #explorepage✨ #pregnancyannouncement #BigCrunchBurger #CrunchOnCrunch #pregnancy

Just_ Michelle
Just_ Michelle
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 26 July 2025 07:13:22 GMT
337531
30099
948
378

Music

Download

Comments

simplyuser254
user :
I saw you and family juzi(sisemi wapi)😂 mnakaa poa😍
2025-07-26 08:28:08
40
chary749
sheila☺️ :
😂😂😂😂leo ndio nime confirm Michelle hakuangi sawa like fr
2025-07-26 07:43:31
760
mayatiffany3
Tiffany😍 :
how to get free food in Nairobi😂😂😂😭
2025-07-26 07:50:48
206
wangeci_kingori
Linet :
Nilijua tu ni sisi ulikua unapima. It looks so real though 😭😂😂
2025-07-26 07:27:19
169
ro_zzie
r.o.s.i.e_ke :
Msichana😂😂😂karibu nishout congratulations nikakumbuka vitu mingi si zako ata mimba umeiba😂😂😂
2025-07-26 09:05:24
125
typical_whitney
🎀🎀 :
hio mimba umeiba wapi 😂😂😂
2025-07-26 07:17:03
204
lizwamutune
lizwamutune :
uko sure hii mimba si ya Shazz😅
2025-07-27 08:20:12
4
jaykapi
Mrs Ashiz💫 :
ata mwenye mimba hajui mko watatu 😂😂
2025-07-28 09:47:42
1
biancamain2
biancamain2 :
Michelle nirudishie congratulations yangu 🥺😂😭😭
2025-07-26 07:25:08
975
eddasteve1
Edda Steve :
Enyewe nimeamini.. congratulations Darling 🎉
2025-07-26 20:35:37
1
christine.chembe1
BLESSED SOUL :
Wìzi itakuwa sahii ni noma😂😂😂😂😂
2025-07-26 15:47:53
3
itsjustlayana
Layana 🌹 :
Hiyo ni balloon 😅
2025-07-26 15:57:15
3
nedy_sue_abela
Nedy Sue :
Amekuharibia maisha fr
2025-07-26 07:36:48
103
kibe0088
Sangah10 :
juzi hapo tahmeed River Rd ulikuwa sawa😆😂😂🤣
2025-07-26 15:24:00
2
kristin_short
Kristin_short :
Yaani mitch umeiba hadi mimba😂😂😂
2025-07-26 07:25:07
422
jazaka7
jaz :
yaani ulitoka kwa nyumba ivo😂🤔
2025-07-26 16:49:54
0
carolmurenga
carolmurenga3245 :
receive it in jesus name 🤣🤣🤣
2025-07-26 11:57:04
4
joykarwitha403
Joy mutwiri :
kevo: tuko watatu,?😂😂
2025-07-26 13:41:11
22
jebichii090
Shanne✨❤️ :
Michelle mpaka unatembea kama bata juu ya chipoo😂😂😂😂
2025-07-26 07:27:02
262
jennyawin2
Jenny💖 :
sasa nmeconfirm watu normal ni mm tu na shazz😂😭
2025-07-26 07:53:32
4
user5932503442170
user5932503442170 :
ati mtoto anataka kushikwa kisogo😂😂
2025-07-26 07:31:36
88
loizernyams
Loizernyams :
hujatoa hizo manguo umefinya hapo. nakwani hii mimba imeshikana na nyonyo😂
2025-07-26 07:36:03
94
itsmoraa001
It's Mo Raa :
Ama mimba ni ya Shazzy ameiba 😅😅
2025-07-26 10:08:59
27
purytall
@purytall🇰🇪 :
Michelle rudisha mimba ya wenyewe please last month tulikua tunanyesha na wewe🤣🤣🤣😅
2025-07-26 10:00:07
16
ck.ch
C.K :
Huyu mwizi haaminiki 😂
2025-07-26 08:12:45
6
To see more videos from user @just_michelle0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About