@avopatips: Mwanaume wa kweli anapimwa kwa mikakati na maono aliyonayo mbele. #avopatips #mwanaume #mwanamke #mahusiano #peaa

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 July 2025 07:42:26 GMT
36900
1898
14
226

Music

Download

Comments

antoniamani5
Antoni _Amani_JR :
ila tusijifariji tutafute pesaa wanaume bila hela utapasua kuni nakutumwa soda kwenye kikao cha ukoo😊
2025-07-26 19:40:23
1
julius33073
julius :
unakuwa na mikakati bila hela
2025-07-26 10:35:29
0
godfreyluchwala31
Godfrey Luchwala :
hio ni niukweli
2025-07-26 14:00:28
2
vicute.cosmetics
vicute cosmetics :
Yes
2025-07-27 22:17:22
0
kaisikiwe
dollartree :
kabisaaaaaa! hata km hana hela anaweza kua na maono makubwa
2025-07-26 16:16:03
0
anastaziatambali
Annie gaitan :
tatizo wadada weng now days hawatafut wanaume wa kwel wanatafuta wenye hela,
2025-07-26 20:03:52
0
suleiman.bin.luhal
Suleiman bin luhala :
💯💯💯
2025-07-26 07:58:29
1
miss.julie42
Miss Julie :
🙏🙏
2025-07-28 05:26:18
0
justine.ndenga
JA60💯 :
🫡
2025-07-26 10:27:00
0
sil88238
sil :
🥰🥰😁
2025-07-28 11:50:35
0
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About