@kanga_magica: mimi sina kazi hivyo nitalala hadi niamshwe na mbu😂... #StickFigureTZ #VichekeshoViral #UdakuWaLeo #JokesZaKibongo #FYP_Tanzania #ChekaUjionee #KichekoBure #UcheshiWaKibongo #StickFigureLife #BongoHumor #VichekeshoZaLeo #KangaMagica #TrendingTZ #StickFigureComedy #JokesZaLeo #ForYouTanzania #BongoJokes #ChekaNasi #TikTokBongo #ComedyZaKibongo #tiktokshopindonesia #tiktokcongokinshasa🇨🇩🇨🇩🇨🇩 #tiktokkenya #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #fyppp #fypp #fypシ゚ #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda #vira #tiktoktanzania #tiktoknairobi #tiktokdaressalaam

Kanga_magica
Kanga_magica
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 July 2025 12:59:07 GMT
539760
24966
238
4281

Music

Download

Comments

the_code_man__mrg
Mr. G :
sasa nauzia nani ice cream 🍦 saa kumi na moja 😢😔
2025-07-31 10:12:25
153
prince.jay2002
Prince _ Jay 🔞✅️ :
Wale wa vdeo tano njoo hp
2025-08-11 04:19:30
4
philosqson
Qson :
vyenyewe jamaa ako anacheka sasa🤣🤣🤣
2025-10-08 18:37:09
1
nagwa838
nagwa838 :
hio ni msemo wa kiswahili 😂😂
2025-10-12 04:54:56
1
abizzfurnitur
Abizz Furnitures :
mtu asinidanganye ati kuamka mapema ndo kutafta utajiri, ati hard work pays kwani watu wa mjei wanakosea wapi utajiri ni akili not money
2025-08-17 18:07:50
2
naah741
Nihan❣️💖 :
unatafta kaz mpak kutafta kaz ndo inakuwa kazi yako😂😂😂😂
2025-08-16 22:43:32
17
mecca1722
Mecca :
mitano tena 👊
2025-10-19 07:42:45
2
beyondhumanability6
Eagles always fly alone 🌹🦅 :
Sasa saa 12 asubuhi naenda muuzia nani barafu ice cream 🍦 🤫🤫🤫 🤣
2025-08-10 15:09:18
6
nellsontobias
nelly☆☆ :
kzn saa mbili 😏 kuminamoja labda dalali
2025-10-04 04:34:23
0
neyshatz
neyshatz :
mwanaume atakayegusa comment yangu namtongoza 😂😂
2025-08-09 11:47:09
30
ester.marko39
Ester Marko :
mi mwenyewe na lalaga paka niamshe sasa sina kazi
2025-09-11 18:55:30
2
doctorsan.bn.gw
doctorsan :
vijana wanamolari ya kuchapa kazi shida wakachapie wapi ahahahahahhaha
2025-09-19 11:01:46
0
ifkanow
ifkanow :
unaenda mosque kusali na kuomba.....alfu utapata pesa blv..me
2025-08-03 10:30:20
8
user2161173518783
Maybe :
fact sana kaka
2025-08-22 23:29:04
0
reghan872
Reghan :
unaamka unaenda kulisha misukule yako after hapo unaenda kaz za kuzugia watu😂😂🤣🤣🤣 kwan chief god love c ameuliza unaeza kulala na chatu!!!😅
2025-08-09 21:34:13
2
dariuskasitu
darius kasitu :
we lala sana shida zitakuamsha dadeki😅
2025-08-12 06:44:29
0
user79504115685954
mercy tabs :
mimi kuamka mapema lazima bwana
2025-08-07 17:17:47
8
finemellanin2001
Finemellanin2001 :
hamtuambii tunafaa kufanya nini jameni tukiamka hiyo mapema 😂😂
2025-08-09 17:11:09
30
abigailk15
️ Abigail 🌺 :
finally I have got the motivation I have always wanted
2025-08-04 07:49:58
28
nevancexauly
nevancexauly :
wale wa video 5 immediately
2025-08-13 08:13:24
0
sudigwau676
GnnSm. :
Mi nishajiajiri kazi yngu yakutafuta kazi 😂😂😂unamka unaenda wapi????
2025-08-22 09:57:32
0
mercy93200
stephrem :
wale wa kumi supu na mkimaliza mcomment done nipitie😂
2025-09-13 13:49:44
1
dora15840
Dora :
Tumemmisi pricilla wa jux
2025-08-12 09:04:19
2
qarrittar4
Titanium Adam :
indeed you are right ☑️legend,tunafaa kujua tunaamka tuende wapi
2025-09-12 08:14:06
0
user608580476105
me🥰 :
aaai hii inabamba sasa🤣🤣
2025-09-08 17:12:58
1
To see more videos from user @kanga_magica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About