@smart_gregory: Semaji kama semaji😂😂😂😂😂 #mrsmart😎 #games #GamerGirl #ps5controller #ps5games #playstation #playstation5 #ps2games #ps3gaming #game #ps3controller #playstation3 #gamers #ps3games #ps1games #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

MR SMART😎
MR SMART😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 July 2025 19:58:50 GMT
8582
510
128
6

Music

Download

Comments

g.piano16
g piano :
Mimi ni Mzee wa mobile game kama efootball ila tuache utan PS5 ni kitu chengine😂🔥
2025-07-29 17:31:47
0
yuzj801
Brand new :
team efootball tujuane hapa
2025-07-27 06:20:12
33
united_click_vario
UNITED_CLICK_&_VARIO :
The PlayStation 5 (PS5) generally supports a maximum frame rate of 120 frames per second (FPS) in compatible games and with the appropriate display settings, including a monitor or TV with HDMI 2.1 and 120Hz refresh rate support. However, the actual FPS a game achieves can vary depending on the game itself, its settings, and the PS5's performance capabilities
2025-07-27 03:28:40
0
americanfrancegames
americanfrancegames :
hiv unaijua Ps5 kweli ,,
2025-07-26 23:56:05
1
uptowngame1
Uptown Games Dodoma :
Gamers tunazote kudadeki PS 5 , PC adi simu watu tumeanzia kwenye java kule kudadeki 😂😂😂
2025-07-27 17:44:21
4
hermaninja
Herman HD :
ps 2 ni bora kuliko Efootball ya simu
2025-07-27 15:30:09
0
father_059
FATHER__EFOOTBALL :
unajiita gamer unacheza offline 😂😂 aaah siwez
2025-07-27 18:51:31
1
kyenda13
seeker :
khaaa uyu msenge anaifananisha ps 5 na nin 😂😂 afuu anajiita gamer 😂😂
2025-07-27 08:01:42
2
choppa.fr.45
_._choppa.fr :
we jamaa una jifany gamer af unajua game za ps tu af ukuteunajua mpira tu ka fala af na unajiita gamer 😂😂😂😂
2025-07-27 05:14:39
0
user63467852024297
savage mind :
daah jamaa ajui anasema 😂😂
2025-07-26 20:04:30
1
profgiraffe_040
Profgiraffe_040 :
aaah ps 5 ndo unajiita gamer na tunao tumoa pc za 4m utasemaje kuw kak
2025-07-27 01:22:29
1
dennisdealma
Dennis Dealma :
Maajabu ya dunia aliyepigwa kashinda😂
2025-07-27 06:49:03
1
kokagideon
kideo🐱 :
kama mtu anacheza e football vizuri kweny sm na anajua fresh ni gamer hata kama hawez ps coz e football nalo n game
2025-07-26 21:11:09
5
game.theater7
@RICH MILES :
uyu nani anafananisha uchafu na pes 4&5
2025-07-26 22:34:54
1
unchaterd
unchaterd :
tamba pandezako kaka afu gamers wote ni familia tu kasolo ww
2025-07-26 20:17:55
1
dakawa_ps
Dakawa playstation 🎮🎮 :
mjinga uyooo
2025-07-26 20:02:33
2
arsenal.fever
Arsenal.fever :
Hana akili
2025-07-27 06:29:09
2
wingododemary
Wingod Odemary :
Me napita huku nacheka kwa mayowe ya ukimya😂😂
2025-07-27 01:03:12
1
momy0020
ICON_KAKA🎮(IK24) :
Anacho ongea 💯 kwa tanzania watabisha kwasababu wengi wanajua kucheza games za offline kwakuwa wengi wao hawamudu grahama za kumiliki games zao wenyew wengi wanajua game kwa washikaji na PlayStation tu🤝🤝🤝
2025-07-26 22:56:29
1
filimon.45
FILIMON 45 :
wenan kwan
2025-07-27 16:02:41
1
gidion_mjema002
gidion_mjema002 :
e football for life
2025-07-27 07:21:30
3
all.lusubilo.related
BouJee Man :
Wakuda utawajua tu😂
2025-07-27 16:03:18
1
secky395
@Jack_21 :
hajui kitu anachosema uyo jamn asamehewe tu
2025-07-26 20:57:41
1
_hamilton._06
AK・TØXIÇ・ :
Unajiitaje gamer alfu unachez game kweny simu😂
2025-07-27 07:22:40
1
americanfrancegames
americanfrancegames :
kwahy mtu anayecheza efootbal nae anajiita gamer 🙌🙌🙌
2025-07-26 23:58:47
1
To see more videos from user @smart_gregory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About