dah nimecheka sana jana jamany hawa ubondia tokea lini 🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 22:37:46
1
Abu daud :
😂😂😂 mkane anauwa huku
2025-07-27 04:20:07
8
Saicom mguji :
ila wachezaji wa yanga wameamua kuhamia kwenye ndondi wa lahi mtatuwa na cheko mwaka huu 🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 04:04:21
25
azam.mapikipiki_og :
inaitwa mpelekee moto😂😂😂
2025-07-27 16:25:27
1
Bakita Mdete :
Nithameeeeeee? nime nime nimee siludiiii tenaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 14:32:34
2
severinaloyce4 :
maninaaaa ngumi mchezo we!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 21:20:41
0
Sylvester :
huu Mchezo kwa hawa wachezaji ki ukweli Mimi km Mimi siufrahii kwa maana hawa ni mastaa wa football kuwa weka ulingoni kwa vitasa ni kuwafehesha maana maumivu na hasira uwa haviishi rohoni imejini mmoja kapatwa pakubwa ivi we unazani amani itakuwepo kambini duh hapana japo kibwana kapelekewa moto na watu wamecheka sana lkn mm hapana labda angepandishwa mchezaji wa Tim tofauti ili uwepo upizani na mapato yangekuwa ni mengi kwa mf apande mchezaji wa yanga na mmoja wa Simba hapo sawa
2025-07-27 14:39:03
3
madelekedachi123 :
hapa kibwana kapibwa Sana tu alikuwa hapumuw nkane alikuwa anapeleka moto kinoma
2025-07-27 14:32:55
1
chimbo :
nkane anawez bhan😂😂😂😂
2025-07-27 10:42:04
2
Jj Kapufi tz :
yanga wanapigana bila sababu huku jamn
2025-07-27 15:03:24
0
Bin Bakar :
mujuwe huyu Nkane alikuwa serious kabisa
2025-07-27 14:13:58
0
Jonas Msafil :
wakacheze mpira huku watauwana2😁😁😁
2025-07-27 21:22:57
0
nkwabi michael tz :
nkane anaomba penati mpaka kwenye ngumi 🤣🤣
2025-07-27 07:53:21
4
Justin Respikius :
awamu ijayo tunaomba nkane vs kamara
2025-07-27 16:07:21
0
cfu@ :
🤣🤣🤣🤣kwani GSM amewaahidi nini?
2025-07-27 19:36:39
0
Michael07 :
iyo inaitwa ainakupowa kazikazi 🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 18:09:41
0
phiner2025 :
timu kibwana kuja kwa hukuu
2025-07-27 09:52:38
5
Asuu Boy :
amna bondia apo wanapapasana Tu
2025-07-27 16:13:23
0
Maro kota🛠🇹🇿 :
nkane Angepga kwenye upaa tuone vumbi😀😀
2025-07-27 04:59:55
10
rachel collection & supply :
walikuwa wako chap ili wawah kambin
2025-07-27 16:13:12
0
Hussen :
vita yenu bad mbichi san msijidanganye
2025-07-27 18:25:02
0
falajisimovwe :
kenge wewe
2025-07-27 16:58:15
0
Aisha cuteee :
🤣🤣 ila hawa
2025-07-27 15:26:35
0
To see more videos from user @msudan93, please go to the Tikwm
homepage.