@biimariyambintiismail:

Binti ngonga Ismail
Binti ngonga Ismail
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 27 July 2025 14:32:09 GMT
172837
7069
484
2494

Music

Download

Comments

haibaadam983
Haiba Adam :
huyu ni Mimi kabisa mwaka wa 5 sasa😭😭
2025-07-29 05:36:41
1
ninahjill0
Ninah jillo :
je kama hata mahari hakutoa na mlitengana 4 yrs
2025-07-29 12:08:32
4
wardat_bae
Wardat🥰bae🦋🦋 :
na alopewa talaka moja mwaka ushapita je
2025-07-29 18:27:19
0
adirakikono07
ADIRAç² Kikono :
km tulitengana mwaka, akaja nipa talaka je ni natakiwa kukaa eda ya talaka, Ikiwa hatukua pomoj?
2025-07-29 09:57:17
1
berylbenard
mama vin :
narudi mme wangu Hassan baada ya miaka 10
2025-07-27 19:35:56
5
furaha.furaha47
FURAHA FURAHA :
Mimi aliniandikia taraka moja kwenye Sim je ina swihii na Sasa tunamiaka miwili na kunamaaliyangu ilibaki je anapaswa kunilipa
2025-07-28 06:47:33
1
carolkadenge
carolkadenge :
nakama mumenununiana amuongei miezi 7 iyo nitalaka ama
2025-07-28 19:09:41
0
salhacte
salhacute❤️🔐 :
asalam aleikum me jmnii me toka nimetangana na mumewangu nina miaka 8 hatuwasiliani wala hakuna hudumaa je apo ndoa ipo mana sijui ata yuko wap
2025-07-29 05:02:08
1
mfangavogmail.com
[email protected] :
na je kama alaitaka kukuingilia kinyume na maumbile hapo inkuwaje
2025-07-29 14:23:32
0
nasra.elegance
Nasra :
mbona dini inasema hakuhudumii na hujalala nae zaidi ya miezi 3 si mke wako wala si mume wako hapo talaka tiyari ,mbona munatuchanganya mashehe
2025-07-28 02:03:02
0
mwanaidi7309
mwanaidi :
mm nauliza nna mwka sasa atuna mawasilihao je hapo napo yakaaje
2025-07-27 20:39:00
2
bibichocolateladyrhamsin
bibichocolateladyrhamsin :
ya Allah 🤲 nisitiri mimi mja wako wa llahi 😭mimi ni mmoja wa hili tatizo nina miaka sina talaka
2025-07-27 21:05:22
16
naimanock
naima [email protected] :
Mimi kanitamkia si mkewe tena,lakini hakunipa talaka yangu.Huu mwaka wa 2 sasa je naweza olewa tena?
2025-07-28 02:59:06
4
user1194052428881
yusra Juma :
Tumeachana kwa talaka moja naweza kuolewa
2025-07-27 20:05:05
3
tinatana_123
Tina tana :
je akikuambia sikupi alaka lakini ukipata mume wewe olewa
2025-07-27 20:56:42
1
ukthy3527
BINTI ❤️ MAYAMBA :
sasa kwanini ukienda bakwata tunazungushwa kwanini
2025-07-28 04:17:29
0
halima.mnyakaya
Halima Mnyakaya :
shehe naitwa uhuta harima muki nina swari naomba kuuriza swari nihiri mimi mume wagu kanitamkia kuanikiurdi nyumbani ndio taraka yagu nikaona nimurize kwamarayapira iripita miezi mitatu nikamuurizatena akanijibu sijabadiri maneno yagu tena akasema shaidi mugu ukijaribu kuenda
2025-07-28 11:53:48
1
bob_hans_new_season
Bob Hans new season :
vipi kama walitumiana UJUMBE kwa simu kwamba "nimekuacha nimekuacha,mara zaid ya TATU kwa mdomo" au kwa msg
2025-07-27 19:31:13
2
queenmanka599
Queen manka :
😳😳 kukoma niko kwetu bado naitwa mke wa mtu😭
2025-07-29 10:22:41
0
shakeelakhalifa
Shakeela :
Na jee kama mke na mume wametengana kwa kuachana lkn mwanaume hajatoa talaka akaenda oa mke mwengine je iyo imekaaje🤔
2025-07-28 08:07:54
0
user78127900369525
peace :
shekhe umenifundisha kitu kixur mm nilisimu mnikaolewa kiislam baadae tukatengana namume wangu baadae akaoa mke mwingine mm nipo sijaolewa hapo
2025-07-27 21:28:13
1
fat.bit2
Fat Bit :
na Kama hakuangali kwa chochote
2025-07-27 15:38:24
1
user4111784849020
zuuh :
tupo wengi
2025-07-28 06:25:15
2
zeyy746
zey :
na je km ameitamka na mdomo na hajakuandikia talaka hapo talaka imepita ama
2025-07-28 06:48:54
0
abdulbasit71396
Abdulbasit :
mimi nilipewa talaka lkn haikuandikwa moja wala mbili imeandikwa tuu je hapo vipi shekh
2025-07-28 07:38:17
0
To see more videos from user @biimariyambintiismail, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About