hiii nayo nimefuatilia kuliko vile nafuatilia maisha yangu..
love how they did it their way...hiii mapenzi idumu
2025-07-27 16:09:45
1560
bernadette // :
the way they have indirectly marketed this place
2025-07-27 17:53:42
2322
sinamaoni :
awa wamefanya wajaka wakae chokora
2025-07-28 23:48:20
12
Ann :
My question is 🥰who did the decor 👏👏👏👏👏👏👏👏💕
2025-07-27 19:01:52
225
Roena Adams :
ile 500M walisema naona kaa ni ukweli sasa weh
2025-07-29 07:24:04
62
sue18 :
decor was lit🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-27 16:20:54
1847
It's Hope💊💉🦋🎀 :
Nafeel vibaya kumiss hii harusi😭😭😂😂kwani memo ilitoka lini guys😭😂
2025-07-27 20:47:00
10
wavinya😘 :
na Kuna mwenye Ako serious na life na hii wedding hawezi Pata😂
2025-07-27 19:42:02
216
Ciku Muriithi :
The more you dig in the more you get confused
2025-07-28 18:27:11
129
laureenobura :
ni pesa ngapi kufanyiwa hivi
2025-07-27 18:05:47
6
#OVERLANDINTERIORS :
Mwenye deco nkama alipewa onyo kali ⚠ "upange upuzi tutauza hzo vitu ungwaroo.." 😂
2025-07-28 20:22:39
17
Brian :
a very expensive wedding ya maboyz wenye uwa wanaitwa broke men..akuna mtu broke ni wewe upendwi🤣🤣🤣🤣
2025-07-28 11:03:18
148
Avidah Twiz :
wueh maana ya tafadhali usitupamgie harisi ndio hyo sasa
2025-07-28 21:58:30
4
b.n.githinji :
hii enyewe hio 500 million inaeza kuwa si jabA
2025-07-29 11:51:39
8
Judy😊❤️ :
Tz walikua na wedding of the year ya Priscilla na juma jux sai Kenya iko na wedding of the year ya Patelo na Dee🥰🥰
2025-07-28 07:09:56
111
sharoshiks❤ :
kuna something unique abt this wedding,maboys Tu ndo wamesmamia..sijaona maids mahali..ama Niko zangu zangu😂best wedding..may God keep this marriage even better perfect forever
2025-07-28 05:18:05
68
Racy :
yani unafunguwa tiktok first video n za harusi ya dee &patelo please tupee break sasa😅😅😅
2025-07-29 13:39:59
7
@Bebzbecky :
na Kuna kina Diana b na Amber hawajai🫣🫣🫣rusheni mawe nitajenga
2025-07-29 12:15:23
4
Mum Elly vlogs :
hii wedding it can be true ni 500 million
2025-07-29 15:21:35
3
Lizzie dreadlocks stylist :
Mungu pale nilikuomba nataka mapenzi ya kudumu Anza Na Hawa ...hii idumu milele Na milele.another day to be happy by a stranger.❤️❤️❤️❤️❤️🔥
2025-07-29 10:27:27
8
2803 :
mtu aniambie such decor for 200 people ni how much haki, planning mine
2025-07-27 20:26:32
10
B.R.E.E🦋🦋🤍 :
Ndio kutoka interview kwa obinna
2025-07-28 17:41:40
8
To see more videos from user @naiposhagardens, please go to the Tikwm
homepage.