Na ukitaka mwanaume afanikiwe we mkatae kwasababu anamaisha magumu
2025-07-28 09:47:12
179
Geriga Joram mtaka atana koro :
ila Wanawake huwa wanatupa hasira yakupambana
2025-07-28 07:39:02
259
SilvaDave05 :
sema ali inaonekana umepigwa sana matukio mwanetu😆😆😆
2025-07-28 10:52:32
252
emmanuelmacha0 :
kuna Ally kamwe + Mbosso asee hawa jamaa wamepitia moto 🤣🤣
2025-07-28 18:59:41
112
Gogo Agents :
ISHU NI LEVELS, MWANAMKE AKIPANDA KIMAISHA KWA NJIA YOYOTE HALAFU WW BDO UPO PALE PALE AU UNASHUKA CHINI ANAKUTENA MAPEMA SN. HAYA NI MADHAIFU YAO KIMAUMBILE, NDIVYO WALIVYOUMBWA. MAANA YAKE USIMPE SAN NAFAS MWANAMKE WAKO AKUPITE KIMAISHA, UTAISHA.
2025-08-01 03:08:55
2
GHOST 3908✌️ :
me galfriend wangu alihama shule na mapenzi yake yakahamia ukooo me nikabakiaga bado nampenda tu kumbe maskini hawazi kuhusu mimi🥺😅..ila kuwa loyal mbaya sana
2025-07-28 07:08:03
20
eliya mt :
yaani katka maisha usije ukaweka malengo na mwanamke itakukosti
2025-07-28 19:06:49
47
Daud sorwa jr :
maisha ni fumbo jamani anaejua kesho ni Mungu pekee
2025-07-28 21:14:20
26
mr Rabbit :
usimkatie tamaa mwanaume anaepumua✊️
2025-07-29 05:38:07
44
MADUA SALYOYA :
haya mahojiano nayapaje yote
2025-07-28 07:42:33
22
coolext kid :
Life's chapter📌
2025-07-28 06:10:59
19
Mosses.05 :
Aviator🛩️🤦♂️😭🙌😭😭😭
2025-07-28 07:50:38
6
Sambi media :
episode ya 2 Lin
2025-07-30 19:49:04
1
Badboy_official :
Daah MBAGALA…cjui watu wa mbagala tunachukuliwaje ??
2025-07-28 12:19:27
11
official llins jr :
mtaje tumseme
2025-07-29 19:08:51
2
jkigomba :
achana na ally, my ex aliwahi kunambia we ni mwanaume gani ambaye nikiwa na shida na elfu 50 ni mpaka nimtafute ex wangu dah sitakusahau my ex 😁😁😁
2025-07-30 13:47:08
4
japhar :
nache nachanganyikiwa mjukuu wangu 😅😅😅
2025-07-28 08:37:03
20
Goodrich :
uyo mwanqo uliekuwa unaishi nae mbagala.Usimsahau Kaka .Kama yuko Kwa namna Fulani Mambo yakiwa saw kaka mtafute🙏
2025-07-29 16:51:54
3
UNSPOKEN TRUTH🤐 :
hauna tofauti na mimi bro, 🥺🥺 dem akienda chuo daah
2025-07-28 21:03:23
8
dazfacejericho :
Kwangu mimi ni bora sana huyo wa kukuchana live unaumia huku unapata ghazabu za kupambania maisha kuliko yule anaekucheat na kukuletea dharau aiseeee
2025-07-29 13:10:16
3
Elias Nyemele :
Bro umenikumbusha kisanga changu kmoja cha long time,Ila maisha yanaendelea
2025-07-28 07:26:11
33
Tinoh :
hiyo tathimini ilikuwa imefanyika kitambo sana kaka😂😂
2025-07-28 07:19:31
20
yunusmadenge7 :
ila ally kamwe amepitia mengi sana kweny maisha yake🔥🔥💯😂😂
2025-07-28 21:28:32
14
ayubu :
kumbe kitambo
2025-08-01 07:25:30
1
church Kidd.Galaxy7 :
wanao mkubali kamwe like apa
2025-07-31 06:45:28
10
To see more videos from user @allykibatiktok, please go to the Tikwm
homepage.