@dogopaten_: Wakubwa Zangu Tarehe 01/08/2025 Ninawakaribisha kwa heshima kubwa kwenye LISTENING PARTY yangu ya kwanza kabisa kwenye safari ya muziki wangu pale USHUANI 🤣 @Uncles Tz MASAKI. Hii si tu ngoma ni sehemu ya safari yangu mpya. Mashabiki Zangu, DJs, wasanii wenzangu, comedians, influencers, presenters na vyombo vya habari nimeandaa kitu cha kipekee kwa ajili yenu. NAWAPENDA ❤️ #Sikupendi
Kama Kuna Mtu Yoyote anayo connection ya Kazi ya kiwandani anicheki.! Kuna Elfu 30 Ya alaka alaka kwa yoyote atakaekua na iyo nafasi.! Location Dar es salaam
2025-07-28 08:21:43
0
CHIEF :
Mapemaaa🔥🔥🔥
2025-07-28 16:40:47
0
JOLO_CLOTHING_STORE, KARIAKOO :
NASISI TULIOSHINDWA KUMOVE ON GOMA LETU LINI
2025-07-28 09:54:55
2
apple Pasiphae :
@DOGO PATEN it's time to shine you we're born to be a star 🌟 🤩