@dogo.patenmusic: Wakubwa Zangu Tarehe 01/08/2025 Ninawakaribisha kwa heshima kubwa kwenye LISTENING PARTY yangu ya kwanza kabisa kwenye safari ya muziki wangu pale USHUANI 🤣 @unclestz MASAKI. #Sikupendi Hii si tu ngoma ni sehemu ya safari yangu mpya. Mashabiki Zangu, DJs, wasanii wenzangu, comedians, influencers, presenters na vyombo vya habari nimeandaa kitu cha kipekee kwa ajili yenu. Njooni msikie nilichowaandalia kwa moyo mmoja. ❤️🎶 NAWAPENDA ❤️ #fyyyyyyyyyyyyyyyy #fppppppppppppppppppp #fygpシ #fypシ゚
Dogo paten
Region: TZ
Monday 28 July 2025 09:04:11 GMT
Music
Download
Comments
RICH KID💎 :
Usituombe bhna we sema location ni wapi watu tujazane 😀
2025-07-28 11:55:43
72
REAL MADRID TODAY :
.kama ume move on dondoka hapa
2025-07-28 11:34:05
43
Kitonga store :
Umenza kufa misaraba na wewe
2025-07-28 20:00:36
0
jacklyn_❤️🩹🦋🫂 :
🙈Jamani Mimi itakuw siku yang ya kuzaliw niandalie zawadi pls🙈🤭
2025-07-28 13:01:15
11
V 🌸 :
niko nje ya nchi mdg angu, wasipofika niambie
2025-07-28 16:28:21
8
🫧❤️ :
Ata usingetoa tangazo tungekuja mdogo wangu😂
2025-07-28 13:40:31
22
man sam :
kwaheshima👍👍
2025-07-28 09:09:45
7
mr j.tz :
kingilio shingap ap mwanetu
2025-07-28 16:25:20
1
PossiblE :
uyu naishiwa kbla tunavyosonga😂😂 ile nguvu ilkua kubwa tofaut n uwezo wake
2025-07-28 20:04:13
0
@babyaishaTz :
sawa lastbron wa taifa🇹🇿🤣🤣❤❤❤🙏🤝
2025-07-28 13:41:05
12
Ph Kidd :
Mapema xnaa tupo apo USHUAN
2025-07-28 10:18:59
6
Asnath :
utafika mbali dogo🔥🔥🔥
2025-07-28 15:17:43
6
Roicy :
kama uko bize na dogo lema tupite hapa
2025-07-28 16:32:26
2
Mr.Obsh :
Wengine hatupendi maneno bali ni wavitendo tupo kwel au nipo alone 🤗
2025-07-28 20:30:04
1
Erasto Myovela :
kak unajua utafik mbali san komaa huo ni mwazo 2
2025-07-28 11:50:06
8
catherine kikwesha :
haina haja ya kuomba mdogo etu toa location wakubwa zako waje💪
2025-07-28 13:28:02
4
dear mamy :
Umeanza kuvaa misalaba tena😳😳😳
2025-07-28 16:29:14
0
WIZZYNISSY TZ :
mapema saana🔥 last born wa taifa
2025-07-28 12:51:51
2
Neema Lucas :
location itaje vizuri na kiingilio
2025-07-28 10:47:32
1
vannyRugger🇹🇿🇰🇪 :
sio Dogo tena ni Kaka Paten
2025-07-28 13:19:20
8
Munir🖤🥷 :
👑last born
2025-07-28 12:11:47
1
Tesh Tau💔🔐 :
Niwapiiii
2025-07-28 09:08:27
3
LELUU BEAUTY🦋 :
tizama mziwanda wetu sisi tupe taarifa tu ulipo tupo😂na uyo ulokuwa humtaki wewe yeye anakungangania tuachie sisi tutadili nae😂
2025-07-28 19:41:18
2
eliya_kisibo10 :
courage 💪 bro
2025-07-28 13:33:57
2
To see more videos from user @dogo.patenmusic, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.