heshima muhumu bro,,futa hii kitu haraka iwezekanavyo
2025-07-29 21:02:02
1
Zippy zippy :
very wrong..hiyo sii comedy bro☹️
2025-07-28 15:29:16
86
R M M :
kwani ukosefu wa eshima umezidi adi mnachokoza kila mtu
2025-07-30 19:04:28
0
Steve Opubah :
@Steve Opubah:toeni feelings hapa bana.
he is doing this juu ako jobless ama ambieni io serikali yenu impee job awache kufanya vitu hampendi!
alaaaa
bro keep going
2025-07-28 16:44:12
5
Ali Jillo :
Wacha dharau mbona unafananisha mbwa bibi ya mtu futa hivo ujinga lulu mshitaki huyu jamaa
2025-07-30 17:08:29
0
Reverse flash :
kujia sehemu telezi bro
2025-07-29 00:01:45
6
Kevin Smart :
hapa motina ndio lulu?🤣🤣
2025-07-28 12:31:14
282
nyagu :
and how did you convince bosco😂😂😂
2025-07-28 14:45:11
356
user8561151533442 :
hivi unamlipa kweli nae apate matunda ya sanaa
2025-07-30 17:07:17
0
preciousnaomi58 :
Kwa ufupi unasema Lulu ni mbwa huna adabu 😏😏😏
2025-07-28 17:32:18
19
captain casablanca :
wwe sasa hume fuka mpaka
.sasa hii ndoo mandili uliofuzwa.kuwana eshima
2025-07-28 18:08:24
4
it's Him,book reader :
swali ni uliconvince aje Bosco 😂😂
2025-07-28 16:53:40
11
betty :
hapo hujafanya poa kwa lulu 🙏nimekuja kwa amani
2025-07-28 15:56:47
3
Rodrick :
my concern is how did you make to convince that dog to stay calm there until the end of the video 😂😂😂
2025-07-30 11:13:58
4
Frashah Frashah :
😂😂😂🤣 kenya kukasirika n kujitakia
2025-07-28 20:30:19
3
kïêrãñ :
kesho mimi nahama kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂
hizi ni ma waaat ???😂🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 15:36:13
7
Audrey Lusaka :
njoro umezidi😂😂
2025-07-28 18:15:02
15
Modrah Shun :
shida sio lulu..shida ni kudhihaki dini..eti mbwa muislamu..sijapenda hii
2025-07-30 20:37:39
0
user9941005297747 :
heshimu mtoto wa like heshimu mavazi YA kislamu hii Ni makosa
2025-07-28 14:00:05
19
ben :
this dog has really suffered in this man's hands 😂😂
2025-07-28 15:21:51
9
Evans Kefa :
lulu hassan reposted🤣🤣
2025-07-28 12:40:19
38
Propera17 :
🇰🇪 Huyu anaitwa GuuGuu hathan.
2025-07-28 17:01:20
38
RiseNShine (God first) 🙌 :
😂😂😂😂 Umefanya nime cheka qw mazishi
2025-07-28 20:53:39
1
Wanga Sirkal :
mnasumbuanga dog bwana
2025-07-28 19:04:08
2
mlewa dini tz :
huyo mbwa ni bint wa kiislam kumbe?
2025-07-28 20:55:06
1
To see more videos from user @josephnnjoroge123, please go to the Tikwm
homepage.