Nakupenda bure dada ujuzi wako wa manufaa sana wacha nikufollow dadangu
2025-07-29 16:51:44
0
amanikatto :
dada nimekuelewa
2025-07-30 09:49:00
0
magige04 :
WAPI SASA C MTWAMBIE ZILIOPO TUZIFATE UKO
2025-07-30 13:23:38
1
boss :
kwangu mimi cha kwanza ni
1) idea
2)watu
3) matatizo ya watu
4) mipango na ujuzi
5) focus
2025-07-29 06:09:25
26
Lucky Rabbiano :
Pesa ina tegwa haitafutwi😅
2025-07-29 17:41:19
0
Manyota brand :
Nina mtaji wa milioni 5 nisaidie nianze na biashara gani
2025-07-29 09:07:28
0
ENJOY LIFE - Health care :
ngoja nikufollow your very potential.
2025-07-29 20:39:43
0
karahmawe :
Hapo sawa siz
2025-07-29 19:48:40
0
majuto mkwayi :
tuma namba
2025-07-30 14:49:14
0
musa :
matatizo 😂😂😂 watu
2025-07-30 02:12:46
0
makoninde :
je mtaji inafaa. uanze na ngapi
2025-07-30 07:24:34
0
didah fashion :
haya nisaidie dada yng
2025-07-30 09:18:30
0
selemani :
me nakupenda
2025-07-30 10:49:43
1
Edisontz :
nikweli
2025-07-29 15:52:33
0
Al Qur’an :
Pesa imejificha kwny matatizo tu na sio vinginevyo. Solve matatizo na pesa itakufata. Angalia video Youtube inaitwa Untold truth about money.
Anyway, kama Nasra ww ni muislamu nakukumbusha kuvaa hijabu.
2025-07-29 09:30:14
2
godfreyabdallah :
dada mafundisho ni mazuri tunaomba ufunvue ili tuweze kudownload crip zitusaidie ht tukiwa hatuna bando
2025-07-28 20:49:40
1
jozery_ignassy :
ujuzi ndo kitu kinalipaa sanaaa
2025-07-29 06:55:23
1
Laurent Jr :
ahsantee Dada
2025-07-30 14:40:50
0
Gerisomu Mwema :
weka namba nikupigie
2025-07-30 05:22:17
0
Kadinalikatto :
Acha uongo psa haijajificha na acha kuwaambia wat kuaa psa n maisha huo n uongo binadam aliish alaf akatengemeza psa huu n upotoshaj
2025-07-29 16:30:24
0
Dan :
urgently need ur phone number
2025-07-30 13:55:35
1
Beneficial :
namba yako
2025-07-28 15:34:48
0
Felician Lp 🇹🇿 :
please your contact number
2025-07-29 05:14:01
0
Sammy b Bush kadog :
asante kwa good speech so how can I consult you
2025-07-29 17:32:43
0
To see more videos from user @coachnasra, please go to the Tikwm
homepage.