@sicoamedia: Amesema Bwana Osca Oscar kwamba ni kosa mtoto wa kiume kuchangisha birthday 🎉🥳 na kuji post 1+ age kwamba inatakiwa kuwaza pesa na mengineyo sio kusubiri saa 6 usiku ukisibiri birthday #SicoaTV #entertainment #FungukaNaSicoa #fyp #trendingvideo

Sicoa TV
Sicoa TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 July 2025 20:07:31 GMT
145590
6909
389
945

Music

Download

Comments

user3794554104077
Nancy 🦋🦋⚘️ :
Ninge i post hii sema tachukiwa sana
2025-07-30 06:31:16
2
christian.kabeya8
Christian Kabeya :
mimi siku yangu ya kuzariwa inapitaga bila ata mm kujua
2025-07-29 07:41:42
13
p46777835
Mwiti the coaches :
hii ni tabia ya wanaume light skin lkn sisi kina fulani hatuna muda
2025-07-30 08:17:13
0
user474339750450
AbdulSwalehe :
me sijui hata nilizaliwa lini
2025-07-29 03:36:16
82
user38966832167
Aloyce wariely Nnko :
wengine tunakumbushwa na voda
2025-07-29 05:24:26
56
nailahathuman
baby chioma :
NATAMANI KUWEKA STATUS ILA NITA ACHIKA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 06:18:05
16
deav.keragy
Deav keragy :
ambao hatukuzaliwa tujuane hapaaa!!😂😂😂
2025-07-29 08:34:05
13
hunter7_8
jerry :
Siyo kuchangisha tuu mtoto wa kiume unasherekeaj birthday
2025-07-29 06:59:16
6
faustinez125
Faustinez125@ :
brother umeongea fact kbx mtoto wa kiume mambo ya birthday umama huo
2025-07-30 09:10:35
0
soud88855
Jp🎸 :
Sasa si bora ungezaliwa mwajuma wahuni wakushone😂😂
2025-07-29 05:26:35
5
precious_officialcareer
Precious :
Naogopa kuweka status nyie 🤭😁😂🫣😂
2025-07-29 16:33:44
1
mussa.r.shatila
Mussa R Shatila :
ukwel mtupu kwanz mi sna hzo pgo
2025-07-30 00:30:06
1
iddy009
Iddyboytz :
me uwa nakumbushwa na voda🤣🤣🤣
2025-07-30 05:11:25
1
agneshamisi
eddyjons :
kwanza mwanaume utakiwi kujua kam ulizaliwa
2025-07-30 05:42:42
1
alexmd2017
Alex Md :
umeongea ukweli oscer
2025-07-29 05:25:11
7
user7293310719910
james chriss :
🤣🤣🤣kweli bana
2025-07-30 03:48:59
1
jonahtz5
Maganiko_19 :
ni sawa kabisa
2025-07-30 00:00:27
1
xiangh14
あやか :
😂😂😂😂 afadhali huyu kawaambia
2025-07-29 09:14:16
6
user1824716205686
Joe@ love ❤️ :
sijawahi umiza akili yangu eti birthday!
2025-07-29 05:39:18
13
susuja50
Triplejay :
m wanikumbushaga voda
2025-07-29 03:54:31
3
user3165340914157
gaspary :
sahii kbx 🤣
2025-07-29 19:58:54
1
oby.boy7
oby boy :
kweli kabisa, hata kufanya Tu
2025-07-29 03:13:10
8
adarshkaso
Sea Eater :
hapo kwa kuchonga ndevu sasa kama namuona vile 😂😂😂😂😂😂
2025-07-29 03:24:51
6
chamazimulandala
CHAMAZI :
mitano tena
2025-07-29 14:33:37
1
sadickkalolo
Sadick Kalolo :
osca umeongea point sana
2025-07-29 06:16:08
6
To see more videos from user @sicoamedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About