@caf_online: Beautiful Dar Es-Salaam! 🇹🇿❤️ The ocean, the streets, the people. All welcoming #TotalEnergiesCHAN2024!
CAF_Online
Region: EG
Monday 28 July 2025 20:50:24 GMT
Music
Download
Comments
Aimee :
Loving the vibes of Dar Es-Salaam! The ocean and the people make this place so special
2025-07-28 20:57:10
91
HR AUTO PARTS HONDA TZ255 :
ichukueni posta tu msitoke nnje ya hapo🤣🤣🤣
2025-07-29 05:57:12
15
Rufiji Tv :
Welcome Tanzania
2025-07-29 20:13:07
0
Faidhali Massawe :
The last man say Chan 2024 can anyone explain please
2025-07-28 21:08:54
4
ISSAQ :
Welcome to learn Swahili fluently in Tanzania 🇹🇿
2025-07-28 22:30:11
2
Keegan Keneth :
Mbona sipaoni Manzese😢😢😳😳😳
2025-07-29 14:21:41
1
MASHOWBOYtz 🎺🎙 :
chukueni gongolamboto na manzese🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 12:45:52
4
asmeer🌺🇹🇿 🇲🇱 :
Tanzania🥰🇹🇿
2025-07-29 18:53:25
1
bandierra 🤕45 :
mngekuja na mbagala basi😁😁😁😁😁
2025-07-29 19:58:18
0
LODEST⭐️R18816 :
Watoto wa mama tujuane apa 👍
2025-07-28 23:15:30
8
viva_636 :
tunawakaribisha kwenye jiji la raha na karaha🤣
2025-07-29 06:23:36
4
geeave :
nyie mje mpk kimara huku basi niko darajani hapa
2025-07-29 08:15:22
1
Chelsea_in_my_Blood.💙 :
MaashaAllah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💙
2025-07-29 09:10:11
1
Angel ❤️ :
I can't stop grinning! 😁
2025-07-28 20:52:47
2
Bangi Ya Arusha :
Naomba mtuangalizie huko kuna tanzania ngapi eti maana ata sisi atuelewi😂😂
2025-07-29 07:10:30
1
Tz🇹🇿 :
TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 oyeeeee 💪
2025-07-29 07:47:50
1
Ziyra🇹🇿🇰🇪🇨🇩 :
Nyumbani kwangu mbagala kwa mbiku sipaoni 😂😂😂au bahari imesha gawanya
2025-07-30 05:54:10
0
norbeth honde :
mpo humu kama mpo twende kazi tujuane
2025-07-28 21:00:59
1
Kaishoz_18 :
mmejaribu kupita na manzese au kiwalani???
2025-07-29 23:59:11
0
Mix ya mtaaa :
mbna hii sio Tanzania yetu 😂
2025-07-29 21:01:09
0
Left-hended :
sasa mbona mihogo ya miamia na miguu ya kuku awajaonesha
2025-07-29 18:24:51
0
kenny@31 :
mbn dar ninayoishi mimi hawajaionyesha hawa nao
2025-07-29 14:26:38
0
Benjamin Zama :
Tanzania yetu🇹🇿..
2025-07-29 09:54:38
0
Laizo_47 :
hakuna matata
2025-07-29 06:37:35
0
Justin Dantez :
Kombe Letu😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2025-07-29 12:17:38
0
To see more videos from user @caf_online, please go to the Tikwm
homepage.