Hii combination ni nzuri hata msipotoa wimbo mkawa marafiki tu itapendeza
2025-07-29 08:55:23
335
tasha swars :
nandi na zuchu wanapendeza sana
2025-07-29 08:13:25
1004
Dalaman :
huyu zuchu hajui nguo gani kuvaa nyumbani , yeye ni utupu tuu. nandy kavaa gauni tofauti na akiwa kazini. huyu ni vichupi, vitopu kavichomekea tumbo nje ndo nini sasa. ovyooooo
2025-07-29 17:34:45
3
pretty cattie..❤💫😜 :
mchezo wa likes 😂kila wiki anatok mtu😂💔🙈
2025-07-29 20:53:02
2
shabatzrigate :
hii nimeilewa zaidi ya kuelewa yani nimeflahi sana watu wangu
2025-07-29 19:11:16
1
Willy mkatoliki⛪⛪⛪ :
Ee Mungu nifundishe kunyamaza nisije jibu nikakosea bure👏👏👏
2025-07-29 19:22:17
1
Baraka Gerevas :
nyie wote shetani anawasubiri
2025-07-29 10:25:05
18
GODLOVE MUJUNI WILSON :
Yas wanakwambia "''anzia ulipo!! ebu rekod baaana!!
2025-07-29 18:06:41
1
Aishatyraider🥀✨💞 :
mngetoa nyimb apo ndio ningerudia kuangalia had mar 20
2025-07-29 13:50:24
2
Mwajay :
Nimesikia kama simtafute Mwajuma bas msiangaike nakuja
2025-07-29 11:47:45
3
JÃY-BLØØD :
mimi nime gunduwa furaha yang ni mapatano yawatu ila huku kwetu gisi novyo gombana na ndugu zangu saa muza😂
2025-07-29 19:05:27
1
black beauty 58 :
nimeipendaa sanaa nimeangalia hii clip zaidi ya mara 10 kama nimerogwaa hiviii 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
2025-07-29 11:37:29
440
Emmajames :
Mpaka zuchu kawa na mashavu kama anapuliza moto
2025-07-29 15:40:05
3
GOMA TV :
oh kumbe Nandy ako na matako mabaya hivyo ?
2025-07-29 13:18:24
81
ɎØɄ₦₲🅼🅸🅲🅷🅰🅴🅻 :
Itabidi nidanganye watu hapo nandy na zuchu wanarekodi nyimbo
2025-07-29 08:22:37
20
Reina2 :
Ila natamani siku nione collabo ya nandy na zuchu
2025-07-29 15:27:41
3
Maggie love💕 :
mie nais wanarecodi nyimbo kwaio tungoje nandy ft diamond 😂🥰
2025-07-29 19:57:57
1
Official_tito :
zuchu ni mzuri akitokea pembeni😂
2025-07-29 16:32:11
26
sadammoh4 :
Simba kula wote wawili
2025-07-29 19:34:22
1
G cute 🦋❤️babe :
najua haiwahusu lakini mwezi ujao naenda kupanga zangu😅😅😅
2025-07-29 20:49:45
19
To see more videos from user @wcbwasafi_, please go to the Tikwm
homepage.