nilienda kwa mwingine nikapewa slice mbili za mkate alafu mtoi ananiuliza ati uncle will u finish all that?karibu nikapige teke wachatu😂😂😂😂
2025-07-30 06:40:23
74
peterjorams :
atawezana na mabrocolli
2025-07-29 12:17:29
66
@john_thairu :
unaweza kula popcorns na ulale 🫴😂😂
2025-07-29 17:36:25
52
bicycles man :
nlienda kwingine nkapewa juice nusu glass ,biscuits tatu na watermelon...kidogo naletewa blanket na nkaonyeshwa room and they told me ama bado unawatch....
2025-07-29 22:40:50
49
Gʻadra000 :
na unaweza kubandilisha bedsheets daily
2025-07-29 20:49:03
46
Shaline Wanjiru🇰🇪 :
naona akina shiru tuko na shida huku🤣🤣🤣mimi siwezi lala na samaki,maziwa kwa nyumba moja.Either zilale nitoke au zitoke nilale
2025-07-29 19:16:09
32
jowicirkal :
utaweza kumwaga maziwa kwa sufuria bila kunyonya yenye imebakia kwa box🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 22:11:16
27
kemunto Carol :
na kale ka basketi ka fruits kwa meza unaeza assume haujaona kweli??😂😂
2025-07-29 17:56:11
26
Sonii💃💖💖💫 :
na mmoja akisema ameshiba wanaamka wote Kwa dining table 🙄🙄😂😂utabaki kuachwa solo🤣🤣🤣🤣
2025-07-30 07:59:31
23
florence31 :
bytha nini hukuwa mbaya na hao watu though😅
2025-07-29 17:24:01
18
ireneraps :
Imagine ukiwa first timer ndiyo ngori but uki zoea ni hivyo,,Mimi saizi na watch ma soft drinks but na prefer kunywa maji coz of my health 😩😩🚶🚶
2025-07-29 17:58:44
18
PRINCE KIMXY :
achana ata na kukula utaweza kuoga 5 times a day 🤔🤔🤔 😂😂😂😂😂
Utamaintain kukula mkate slice mbili smoki moja na ulale ama utaota ukiwa mazishi yako,
2025-07-29 23:56:07
15
Jayden❤️❤️ :
😂😂😂nitapika aje mayai nikule na bread badala ya ugali
2025-07-30 05:30:18
14
carolinembae6 :
Mimi Ata nikitengeneza Ile super drink ya ten Bob na 5litres za maji, aiwezi maliza one hour,,,, kazi ni kukunywa na kukojoa hadi siezi toka nje ya mlango
2025-07-29 19:14:58
13
Robert Mwai :
hatuwezi lala nyumba Moja na 1litre of juice sembuse nusu glass 😅😅
2025-07-29 15:22:01
12
To see more videos from user @bazuuspoilerke, please go to the Tikwm
homepage.