@vibesfm106.5_: Safari ya kulitetea jimbo la Kawe kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Askofu Josephat Gwajima, imetamatika rasmi. Hayumo kati ya wateule 8. #gwajima #wagombea #mchujo #ccm #musukuma #gambo #makalla #ndaro #yamal #lamine #hulkhogan #hulk #planecrash #ajaliyandege #katibampya #chalamilamkuuwamkoa #mwendokasi #obama #heche #chadema #simba

VIBES FM
VIBES FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 12:58:20 GMT
195480
3190
85
49

Music

Download

Comments

giantafricafactgaf
Giant Africa Fact(GAF) :
mjomba wa maguful vp
2025-07-29 15:05:54
1
amina.manda4
Amina Manda :
gwajima sijasikia
2025-07-29 17:37:00
1
angelsungwa2
Angel Sungwa :
Wanajichosha tu na tarehe 29 saa 2 usiku POLE POLE amesema atazungumza na sisi wananchi alafu unasoma huku unatetemeka mikono
2025-07-29 13:55:34
25
issackmalugu
issack malugu :
moto ukiufinik kwa ungo
2025-07-29 15:33:30
1
dreezycollectioncompany
Dreezy96👊🔥 :
Kwan wanaowatoa wagombea ni akina naniii??
2025-07-29 15:58:43
0
user5651555624913
Adam masele :
kigamboni mmetuangusha sana tunamtaka boka
2025-07-29 14:48:58
3
william12th10
Williamlondoni :
uyu Baba hajuwe kusoma majina ya watu ?
2025-07-29 15:48:32
0
mwlgeraldkyungai846
Mwl Gerald kyungai :
naomba kuuliza kwhy gwajima agombei mwaka huu?
2025-07-29 19:56:21
0
yasini.yusuphu
yasini yusuphu :
wanao ongea ukwel mnawatoa naweka mnao wataka nyie yan CCN
2025-07-29 15:00:04
0
nhamalangosha
Nhamala Ngosha :
hovyoo
2025-07-29 13:24:36
1
joel.matrin
Joel Matrin :
mbona unatetemeka mkuu
2025-07-29 13:48:50
9
0716trainerdigwegmail
trainerdigwe :
AKAFIE MBALI
2025-07-29 19:15:03
1
kevomnyama999
KEVO :
kuna vizee vya kuchapwa viboko cheki hili
2025-07-29 13:55:41
9
samihaemedysalum
Samiha Emedysalum :
mungu tusimamie yallab tutetee waja wk mungu tenda miujiza ya haki yallab
2025-07-29 15:25:53
5
user7168186658385
Pastory Edward :
Mbona kama anatetemeka
2025-07-29 15:31:02
0
royrick01
@Royrick-Kg :
Huyu Mzee mmemtoa wapi mbona hatumjui🤣🤣
2025-07-29 15:59:47
1
mrfuture87
MR FUTURE :
acha akatulie kumtumikia mungu maji na mafuta hayakai sehem moja
2025-07-30 05:44:33
0
youngddaniel1
youngddaniel :
kawe tunamtaka furaha Dominick
2025-07-29 19:52:30
0
swizypanklasy
Swizy :
Tunamtaka halima mdee wetu
2025-07-29 18:25:22
0
ztown0
YB GHOST LIFE :
mbn km anatetemeka mikono huyu mzee
2025-07-29 15:28:20
0
budapest901
kanwAKabi :
huyu mzee wa kugugu atakuwa ni lamasela kusoma shida sana
2025-07-29 15:56:51
2
edwindingi457
Edwin :
haakuna kitu muta pata mwaka huu
2025-07-29 13:13:01
1
fillngtesha
Teshboy!! TZ :
nilijua tyu lazima iwe hivyo 😥
2025-07-29 16:13:58
1
user4345798732330
zahr🥰 :
Msomaji🙄
2025-07-29 17:35:17
0
ochubey5
ochubey5 :
apo ndo wanatuminisha kuwa ccm nimbovu ila inauwezo wa kuchukua sheria yoyote ndan ya nchi..maana mbuge msema kweli kwao ana nidham kheli uwe muongo ili kibarua kiendeleee. ata ukikuta mtu kafa kwa macho yako useme ajafa kazimia t
2025-07-30 06:36:27
0
To see more videos from user @vibesfm106.5_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About