kwaiyo Zuchu mkimaliza kuangalia video mnafanya nn??? naona mmezima taa
2025-07-29 19:28:29
2
quen hellen🦋💞💫✨ :
kwahiyu zuchu yupo kwapembeni au nimaskio yangu yanamatatizo😂😂😂
2025-07-29 19:40:18
6
Ms marry❤️🔥🔐🦋 :
kwaiyo cku hz wanaitan had mke wangu😂
2025-07-29 20:02:12
13
Benyto :
Vipi Kure kwa Mwijaku panasemaje tupeni Majib
2025-07-29 16:53:48
2
beatuschristopher :
hongera kwa kupenda maendeleo ya kijana wako bro
2025-07-29 13:56:18
56
grace :
tunaoangalia hii saa 2usiku tujuane
2025-07-29 17:18:54
34
slayermom2 :
Vipi kichwa mviringo😂😂😂
2025-07-29 14:08:35
19
Stellah Momoh :
Ktk maish kuna furaha unapata hadi unaweza lia boss anafatilia hatua za mfanyakazi wake kama hivi dah D Ndy maana Mungu hakunyimi brother unapepo yako 🙏🙏🙏🙏
2025-07-29 14:32:57
11
Shey_vipodozi :
hiv kisaut babu tale vip kapendekezwa?
2025-07-29 13:12:18
7
it's Evaa🌠 :
karibuni Tanzania ni nchi ya Amani
2025-07-29 16:13:13
8
Nikizah Haircut Studio :
Nikweli Diamond platinumz anaroho nzuri kabisa 🤗
2025-07-29 20:30:50
4
Paul_marcoTz🇹🇿 :
Ogopa kukubaliwa na diamond platinums Baba levo Tial kasha pita 😂😂
2025-07-29 18:47:31
4
thewhitecollardon1 :
Nani ameona mondi amesizi cha kijani 😂😂😂
2025-07-30 04:41:19
1
``~•°MARLI❣️ ``~•° :
Mumeskia mke wangu yuko anai….. ❤️🔥
2025-07-30 04:11:32
2
Reeny👄 :
Safi sana unamfatilia mtoto wako hadi kieleweke😹😹😹✊🏼👏
2025-07-29 15:20:16
6
salumdicap :
safi mond maana baba levo kajitoa mhanga, kwako😂😂
2025-07-29 19:58:17
3
decab1988 :
Mmmh baba levo atapigiwa show za bure hadi ashinde
2025-07-29 17:17:00
2
officialfavourboy :
Akifrahi diamond na me nilipo 😂❤️🤌🏾
2025-07-29 23:49:12
2
Mercy Achieng :
Hongera baba levo kwa hatua hiyo. sasa kumekucha kwa wajumbe
2025-07-29 14:03:11
4
Daudi :
Unaweza kuwa na erim na ikapigwa chini😂😂😂
2025-07-29 17:30:18
3
noe billions :
mapua yuko live
2025-07-29 18:55:13
3
Ibrahim Songo :
kafanyeni mabadiliko ya kimaendeleo.
2025-07-29 18:35:51
3
Don pablo :
wabunge wa mama Samia machawa chawa to asa
2025-07-29 18:44:29
2
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.