@vibesfm106.5_: Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini akiwemo Baruani Muhuza, Kirumbe Shabani, Ahmad Sovu, Clayton Revocatus Chiponda (Baba Levo), Maulid Kikondo na Moses Basila. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025. #babalevo #wagombea #mchujo #ccm #gwajima #musukuma #gambo #makalla #ndaro #yamal #lamine #hulkhogan #planecrash #ajaliyandege #katibampya #chalamilamkuuwamkoa #mwendokasi #obama #heche #chadema #hulk

vibesfm106.5_
vibesfm106.5_
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 13:37:56 GMT
12925
176
3
2

Music

Download

Comments

user439451559
Jobless Millionaire 2 :
siasa ya nchi yetu na nchi yetu yote kwa ujumla inachezewa na wahuni wachache tunaangalia.
2025-07-29 13:50:09
0
syolaaggrey39
syolaaggrey39 :
no reform no election
2025-07-29 18:10:57
0
user3155784130402
user3155784130402 :
BABA LEVO WIN
2025-07-29 17:06:48
0
eunice.joshua6
Eunice joshua :
😅😅😅😅😅😅
2025-07-29 16:25:38
1
To see more videos from user @vibesfm106.5_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About