@geoffreymosiriaofficial: A friend had invited this man to Nairobi, promising a place to stay. In a desperate attempt to make the journey, he sold his phone to raise transport fare. However, upon his arrival, the friend switched off his phone and disappeared, leaving him stranded. Since then, he has been sleeping on the streets. While there, one of his crutches was stolen, making it extremely difficult for him to move around with just one. Today, he visited me at the office, and I created time to listen to his story and see how best I can assist him. Anyone who knows him and can offer help to him reach out +254720836634

Geoffrey Mosiria
Geoffrey Mosiria
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 29 July 2025 16:23:12 GMT
1305297
81768
4500
934

Music

Download

Comments

willyaniset
walid :
Mosiria huyu jamaa ni mwizi mbaya sana,tunamjua anatoka kitale matisi rural ,hebu muulize nini chanzo cha yeye kukatwa mguu last year ni mwizi alikua akiibia watu huku mataani . huyu atakuibia hata wewe mwenyewe.Machozi za watu uliibia na kuwakata mapanga ndio Zina ku hurnt , siwezi kua na huruma na mwizi mimi
2025-07-30 09:56:58
328
joyofficial0141
It's Joy❤️🦋 :
mnipee huyu Mimi 😭nimechoka na hawa wanaume 😏
2025-07-29 16:41:51
2373
usernamess268
mkhana :
Huyu jamaa alipigwa hapa kwa neiba yangu juu ya wizi....ata tulijua amekufa Ndio hio mguu ikakatwa hkn accident alipata aseme ukweli asaidiwe...hapo kwa Ku change labda jina Tu....coz after kukatwa Ndio akakuwa worst....msaidieni aki akirudi huku siku hizi ata tunalala na amani na tunatembea na amani....kama haujawahi terrorisiwa na wezi hauwezi elewa hii...pita Tu polepole alafu pia kama Hujui Matisi Kitale ni kusema nini...fyata ulimi
2025-07-30 23:02:49
79
apostle.dan.wema362
APOSTLE DAN WEMA :
anaitwa nani
2025-07-30 13:21:40
436
majaliwa031
MAJALIWA SPY 🥰🫦 :
mosiria nitafutie dem mrembo na asikuwe na matako kubwa kubwa na akuwe sura mzuri tafadhali🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2025-07-30 06:44:40
218
henrytheband
Henry The Band🎖️ :
i know this guy from matisi
2025-07-30 13:07:19
133
_carol_maya
Maya :
Pole beb,nlipoteza namba yako mimi ni ule dem alikuwa anaishi kiminini tulikutana siku ya bull fighting, kumbe ulipata accident ivo aki😭😭pia mimi nlipata accident nikapasuka kichwa na nikavunjika meno mbili,but God is good sahii niko sawa juu nlipona na nikaweka meno ingine,mungu ako utakuwa sawa,ntatuma kidogo chenye ntapata dear🥰❤🙏
2025-07-30 22:27:33
80
shangaziwataifa2
Shangazi wa taifa :
huyu nikimuekea mguu si naeza jichukulia ama?
2025-07-29 16:45:54
106
mercyjonh762
mercy Johnson :
am watching from UK mosiria God bless you bro natuma pesa kwa number gani
2025-07-29 20:39:04
33
raycee97
Raycee KE :
i know this guy we were once at Kitale main prison........ but I can't judge
2025-07-31 07:24:44
38
christellah4
Mamake :
Mwenye alifanya huyu kijana atoke kitale mbaka Nairobi na umezima simu, malipo n hapa hapa Dunia,
2025-07-29 19:19:47
933
sizyafrank
Essie🥰🥰🥰 :
weuh I helped this person at our office thika na fare aende home kumbe hakuenda🥺🥺🥺🥺
2025-07-29 22:18:52
100
macosokoma
𝔻𝕖 𝕞𝕒𝕔𝕠𝕤 𝕜𝕠𝕜𝕠𝕛𝕚 :
Hyu msee n w hapa kitale matisi,,shida mmoja hyu msee n wizi,,but asaidiwe
2025-07-29 22:12:00
22
christin.waswa
Christin Waswa :
anaongea haraka haraka hadi nmesahau ako nashida gani yawa🥺
2025-07-29 17:24:08
182
ursherjuma4125
Alion :
Waah😲,,boi mmoja huyu aka simba kutoka matisi ruro 😂😂,,ati alipata accident.kueni cirius bana huyu jamaa ni mwizi 😅
2025-07-30 22:46:14
31
miriam_k33
Min Nana :
Amekufatilia Kwa Mtandao aje na Hana simu?
2025-07-29 19:22:59
56
nyiks254
Freddy💵 :
Wanaume huongea haraka hivi hua mikora kuruka huwezi mshinda na mdomo wa kujitetea
2025-07-30 03:49:17
32
mamake.fleen
mamake fleen :
watu Wa Kitale matisi rural guy's kujeni uku mnajua uyu kijana bna
2025-07-30 12:29:21
8
vibianjepkemei
vivian :
nimempenda..ask him kama anataka wife
2025-07-29 19:15:18
30
valentine_chao19
Chao-❤️ :
wa kulikiana 5 videos kujeni
2025-07-31 12:00:34
5
user7328043912317
Shaddah shuri :
hello mosiria ..I know that guy ..he is my neighbour at home in kitale. we have studied with at matisi primary school.
2025-07-29 18:57:57
8
abdulsalaamdesign
el diablo el popART :
I'm sorry but who steals crutches🤣🤣🤣🤣yaani Nairobi ata kiwete hapewi amani
2025-07-29 19:11:28
295
dalvynbrown003
dalvynmbukha :
500 haiwezi maliza shida zangu😏 nipee number yake nimfulizie hata 500
2025-07-31 06:12:01
17
abbybianca5
Ebby Gael :
Huyo mtu alimfanyia hivo will never know peace🥲a guy in such condition mbona umfanye hivo honestly hatakama ni utu tumekosa💔
2025-07-29 18:37:36
82
zarrybeth6
Zarry Beth :
eeeeeh niko serious namjua anaitwa Collins anatoka kitale matisi
2025-07-29 19:00:37
17
To see more videos from user @geoffreymosiriaofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About