kaka mchungaji anakutafuta kumbe upo huku namwambia mchungani
2025-07-30 10:40:54
1
Godphrey_Kweka :
🙏🏿🙏🏿
BWANA YESU ametupa Mwakasege wa wahuni,😂😂😂
Lazima wahuni waokoke.
2025-07-30 08:45:56
7
Edna waiton :
Nilijua ni pastor tuu kumbe ni muimbaji pia
2025-07-30 04:06:43
3
Salome Agathon :
unasauti nzuri tuache wivu
2025-07-30 10:36:35
2
Manka 2023 :
safi sana umebarikiwa sana🙏
2025-07-30 10:21:58
1
B.M :
ni kweli Bwana wewe ni mkuuuuuuuu,
2025-07-30 05:47:47
1
Millinga Ze Kingi :
kumbe mwamba Fundi sana
2025-07-30 10:58:34
0
barikiedward852 :
Me nimebaki namwangalia yule jamaa anapiga miayo kule sijui ajalala au ni njaa anasikia🤣🤣🤣
2025-07-30 03:09:37
1
Elicia Mongi :
hahahaha sauti ya kuongea sio ya kuimbia, wanakwaya na wanamuziki wanajua
2025-07-30 10:06:59
1
Donatha Mtei :
imebaki kidogo nianze kunena kwa lugha
2025-07-30 09:14:08
2
user4622313079057 :
Ni kweli Bwana wewe ni mkuu, uweza wako ni wa ajabu.
2025-07-30 09:49:34
1
mama 3 toto :
kiukweli hua napenda sana interview zako hua unanifundisha kitu
2025-07-29 17:07:32
27
_lidya01 :
jina la wimbo
2025-07-29 19:15:11
1
GODLISTEN JOSIA :
Noma sana,,, ukiwa kwaya master watu hawachelewi mazoezini bro🔥😂😂
2025-07-29 17:06:49
11
Gift wa Mwonaji :
eb ngoja kwanza hivi unajua Mungu siku akirudi ataanza kukagua pale alikwambia usimamie kundi kubwa alafu ukaenda kuwa MC utajibu tuu
2025-07-30 07:30:50
1
Dr Braitoni :
Mimi naomba uwe mchungaji wa Sisi vijana tusio hitaji Sheria mahubiri yako Ni Kama utani Lakini watu wanazingatia...ona umeimba mpaka mchozi umenitoka nikikumbuka nikiwa chuo, A level, yaani daaaa Madevu