@monsuly2: Katika hii video nimeelezea sababu kuu Tatu za mwanamke kucheat , Kama unahitaji simu kali yenye hadhi ya kuitwa smartphone basi ni TECNOSPARK40 Oyaa hizi simu ni noma sana aiseee 🙌🏾🙌🏾 Tembelea maduka yote ya @TECNO Mobile Kujipatia simu Janja ya SPARK 40

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 July 2025 17:41:36 GMT
36479
3085
51
67

Music

Download

Comments

john762217
John :
Tulio luka matangazo 😂😂
2025-07-29 19:40:46
11
shamoraboy31
Shamoraboy :
𝑻𝒖𝒍𝒊𝒐 𝒌𝒊𝒃𝒊𝒍𝒊𝒂 𝒄𝒐𝒎𝒎𝒆𝒏𝒕 𝒕𝒖𝒋𝒖𝒂𝒏𝒆🔥🔥
2025-07-29 17:50:38
8
georgemhagama610
JAY WAYNE🌹 :
Yote ayo nimefanya ila sio kwa yule binti aisee nashukulu mama mkwe kwakunizalia mtoto mshenzi🤣🤣🤣
2025-07-29 21:41:41
3
taulini
taulini alistides :
umeongea point kaka🤚
2025-07-29 21:28:04
1
user98867779471921
ummusuhaira :
shi ngapi kaka
2025-07-29 17:56:43
1
helal22589
helal2🇸🇦🇸🇦 :
hata Samsung yafanya hivyo 😎😂😂
2025-07-29 18:40:32
0
dlsgames0
KaKa JaMbAzi :
wengine ni malaya2 hamna chochote
2025-07-30 06:15:07
0
irene.mmassy1
Irene Mmassy :
😂😂 kweli
2025-07-29 18:28:55
0
hanifamohd485
@ mama kimbbo 458 :
ni kweli
2025-07-29 19:47:39
0
mactz84
bigtz :
broo badilisha content zako kwenye mitandao acha kutuletea izo inspiration za wanawake
2025-07-30 04:46:47
0
kingallyjuni0
@kingallyjuni123 :
mi wangu mitandao ya kijamii ndo sehem moja wapo ya furaa kwake ata nimpe furaa vip😥
2025-07-31 21:30:33
0
user8816661000185
Arafatiidyy :
yess
2025-07-29 18:44:02
0
arafatbadria
arafatbadria :
hapo umeongea ukwely bro
2025-07-31 18:19:45
0
user6088106568544
Miss Farida :
ni kwel kabis
2025-07-29 21:06:06
0
offiicialceeboe0
gaucho rj :
dah bro umeongea point kweli
2025-07-31 08:08:00
0
mjumbe.wa.hakiaman
Mjumbe wa haki/amani kwa wote. :
uelewe chochote. endelea kuuza simu.
2025-07-29 22:59:48
0
sadikidhamir
SADY :
fact
2025-07-29 20:09:55
0
jay_thebaber
Jay_thebarber💈✂ :
yan we mwamba unaongea kama huongei tena kesho salute sana funzo
2025-07-30 21:47:44
0
user54006817188771
Fineman :
Lete mchongo wa pesa, achana na mapenzi bhana
2025-07-30 15:15:11
0
kiffwwx1
Kiff wwx 🤣 :
oya mda mwingine ongelea mchongo wa ela mbinu za maisha , tu mécha choka mapenzi 🙏🙏🙏🙏
2025-07-30 11:47:54
0
turany04
turany :
bei gan iyo simu
2025-07-30 10:45:48
0
user3787738171331olivier
Olivier nicolas :
ila kuna wanawake ambao hawajani ayo yote ata umufanyiye ila ana tabiya yakuchiti sn kama mwanamkewang
2025-07-30 09:39:18
0
dory.laisery
dory laisery :
nikweli kabisa brother wanguu upo sahihi
2025-07-29 17:56:17
0
kerene3620
Kerene🇨🇩 :
Kwell 😭
2025-08-01 06:47:23
0
jackline.nehemia
Jackline Nehemia :
💯
2025-07-31 06:30:42
1
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About