@vibesfm106.5_: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Jumatano, Julai 30, 2025 kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. #lissu #mahakamani #kesiyalissu #babalevo #diamond #gambo #wagombea #ccm #mchujo #gwajima #musukuma #makalla #ndaro #yamal #lamine #hulkhogan #planecrash #ajaliyandege #katibampya #chalamilamkuuwamkoa

vibesfm106.5_
vibesfm106.5_
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 July 2025 08:32:50 GMT
481191
17721
478
500

Music

Download

Comments

bababuu063
abubakaribaruti90 :
anae amini kesi ya lisu itaisha baada ya uchaguzi tujuane
2025-07-30 09:19:36
337
jasusi255
ABDULLAH MUHAMMAD :
ANYONGWE TU HANA FAIDA KWENYE TAIFA
2025-07-30 12:23:32
8
ellybm5
EllyBM :
Nadhani hiyo sauti ilikuwa inatosha 🤔
2025-07-31 06:30:03
0
lykerpolite78
Husnat :
Huyu mzeee akitoka ni rais moja kwa moja inshallah 🥺🥺🥺
2025-07-30 11:17:36
110
jamessanga316
sanga tz :
mahakama au ofs za ccm
2025-07-30 10:09:21
35
vian_crochet
vian_❤️ :
ukijua Sheria raha sana
2025-07-31 02:05:28
1
bestkatunzi
SIKU ZA MWISHO :
Yohana 3:16 (KJV) Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
2025-07-30 15:03:28
7
stevenmwakilema
stevenmwakilema :
Ushaliwa kichwa ww wazungu wame kuponza
2025-07-31 04:23:42
1
david.yusuph
David Yusuph :
Yaan kama vile yeye ndo jaji mkuu wa Mahakama wote wanamsikiliza 😂😂😂😂😂
2025-07-31 04:45:13
1
saidkalolo111
Said Kalolo :
Baba wa taifa alie hai💪💪💪
2025-07-30 13:57:02
6
yeremia.william6
Yeremia William :
mungu usimame huju tundu lisu aweze KUTOKA 🙏 amima
2025-07-30 11:32:45
19
majigo35
babu eddy :
Yule alompiga risaasi mwanzo yupo wapi angempiga za kichwa 😂😂
2025-07-30 18:05:01
7
user2998781482457
user2998781482457 :
nawaambia Lisu ataachiwa tena kwa kutumia section 91 of the criminal procedure Act
2025-07-31 04:05:32
2
smartlife.electronicstz
SmartLife Electronics Tanzania :
huyu jamaaa....ni kichwa sana....
2025-07-30 20:26:54
1
happyikoy0
happyikoy0 :
Kwan umo kwenye mfuko lisu anawekewaga nn???
2025-07-30 19:03:53
1
my_is_my_name922
MY is my name% 🇹🇿 :
bado hajasema na atasema
2025-07-30 10:50:27
9
fromspace02
Alien👽 :
Na bado alikubali🥺
2025-07-30 16:13:54
2
chefpierredodoma
chef pierre :
majaji dhaifu,
2025-07-30 13:28:30
5
diahquan
DiahQuan :
Mpaka inatia uchungu🥺🥺 ila Ipo siku🙏🙏🙏
2025-07-30 15:54:17
2
mazwili.y.g
Mazwili y g :
mwiba ni mdogo ukiwa hauja kuchoma
2025-07-30 18:54:26
1
joel.joseline2
Joel Joseline :
ya kwambaaaaaa....?
2025-07-30 17:37:45
1
captaindavista
Captain Davista :
Mahakama inaonekana ni imara sana kwa watu dhaifu?
2025-07-30 17:58:20
1
maikoshaban0
Maiko shaban :
Kura yangu nitakupa hta ukiwa gerezani✌️
2025-07-30 20:40:41
1
niey160
Wennie :
Jaman muacheni baba wa watu basi inatosha 😢😢
2025-07-30 09:29:49
67
user9331986320983
user9331986320983 :
Wakill wasenge zaifu kama malaya wao
2025-07-30 20:19:46
1
To see more videos from user @vibesfm106.5_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About