Assalamu aleykum warahmatullah wabarakatuh, naomba kuuliza Kitabu cha Muntakhab ahadith , je kipo Sawa ?? Je kinafata SUNNAH za mtume amn bidaa???
2025-07-31 16:21:42
1
Yahya Mrangi :
mbon hatumuelew huyu ,kwahyo Kam yametajwa Mara hzo kwa madai yko yasiyo na ushahidi ndo nn sas,inamanufaa Gan kweny dini?halaf eti unakuja kutaj Aya mwishoni ambay wala haiusiani na manen yko yaliyotangulia,mche Mola wako achan na hyo wala hayana faid yoyot kweny dini,
2025-08-01 04:51:12
0
Aswila Hamisi :
mdg wangu ww ni mwalimu mzur.allah amekuchagua hakikah amekuandalia pepo ya juu.
2025-07-31 08:17:55
1
Boyka :
maashallah mungu akuondolee hasad na akupe moyo wa subra
2025-07-31 12:51:58
2
ibn muhammad :
subhana allah neno أقيموا الصلاۃ mwenyez zimung amelirudia mara 12 naherufi zake zipo 12
2025-07-31 02:59:31
7
zomboko :
Masha Allah mwalim umefanya kazi kubwa
2025-07-31 19:34:11
1
Abou Dhabi :
hapa wanafiq watazidi kujua kuwa qur ani ni kabu cha haki na ukweli
2025-07-31 06:20:34
0
mamahussein457 :
MashaAllah
2025-08-01 06:41:50
0
Yasir :
mashaallah Qur-an ni muujiza using wa kawaida
2025-08-01 06:20:57
0
husseinmwarabu249 :
Allahu akbar
Subhanallah
sikuwahi kuwaza hichi kitu.
2025-07-31 20:42:52
2
Mr Aliz :
MashaAllah sheikh recently I was admitted in hospital with fractured left hand kindly elaborate mi how to continue with my prayer even though ni ngumu ni simame
2025-07-31 14:39:08
1
lamiboymwalami :
shekhe unanikosha
2025-08-01 03:53:35
0
husseinzitto :
mashaa ALLAH ALLAHU Akbar..
2025-07-31 04:53:08
0
swahibu sembaruku :
barakallahu fiika akhy Nasir
2025-07-31 18:46:16
2
hascyner :
SUBHANALLAH
2025-08-01 07:03:57
0
user96155449485828 :
hakika Allah mjuzi
2025-08-01 06:57:54
0
abtuli :
ALLAHUAKBAR
2025-07-30 19:44:16
0
off :
mimi nipo na wewe
2025-07-30 20:08:03
0
seifsharif :
Quran ni miujiza.
2025-07-31 08:57:28
1
Japhary :
Allah akibar
2025-07-31 17:30:12
1
.L.E.R.A.Y01 :
jazzakallaah kheeir allah akullipe malipo mema
2025-07-30 19:30:50
0
shuuh😍 :
Allahu Akbar 🙌
2025-07-31 15:05:42
1
SIR SALIMU ALMASI :
ALLAH AKBAR
2025-07-31 08:38:30
1
Msafiri Munga :
Jazakallah khairan sheikh alhrul ilmu
2025-07-31 14:33:51
1
Hazla Bishir :
jazakallah Allah akupee umri mref uzidi kutuelimisha zaidi mashaallah
2025-07-30 18:16:08
2
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.