WASHIRIKINA HAO MUNGU GANI ASIKIE UPUMBAVU KAMA HUO😏
2025-07-31 11:32:11
1
Shishy :
Hatujui anapitia nini huyu .amefikisha ujukwa Allah tumuachie Allah amjibu .Ami yarab
2025-08-01 07:02:13
1
chiefuthedoni2 :
ila ukitoka hapo, pambana kutafuta, vinginevyo utaendelea kugongewa hodi kila mwezi, Afu kumbuka kuniletea kodi yangu, Hata sisi tuliomba hivo hivo mungu akatujalia tukajenga, Sasa we unamwomba mungu huyo huyo ukitushtakia kwake, kwa hio tukuache uishi bure au?
2025-08-01 07:27:27
0
Rotrimu mk :
😂😂😂😂,chumba kimoja kama choo cha kulipia du
2025-07-31 18:21:10
1
haruna nuru amiri :
kukaa kwenye nyumba takupanga inakua shida imewagusa
2025-07-31 18:53:06
1
sululu zungu :
Kuna Lofa mmoja anacheka km mm daa😂😂
2025-08-01 05:57:16
1
g_nkoro :
amiin
2025-08-01 08:16:09
0
Magustu Babu :
Amin Amin Amin 🤲🤲🤲😭😭😭
2025-08-01 07:23:00
1
Ayesha Muhammad :
Aminaaa Yarrabih 🤲🤲
2025-08-01 09:53:41
0
mtalingomela :
E Mungu baba0
2025-07-31 03:32:45
1
Abu Shariff :
ustath hajalipa yumba, alafu kamuona landlord wake hapo ndio kaanza hiyo Dua
2025-07-31 22:35:27
1
phatty muriento :
aaaaamiiiiiinnnn
2025-07-31 11:19:18
0
Baridastev :
masheikh sikuiZ wanachekesha Kama comedian yaan
2025-07-31 00:04:01
1
Bray Wizzy :
Shekhe shikilia hapo hapo me mwenyewe sina nyumba🙏🙏🙏
2025-07-31 18:45:44
1
DavidAurena🇰🇪 :
🤣🤣🤣 weh hapo kwa kupisha mlango🤣🤣
2025-07-31 08:55:36
1
之际老师 :
hahahaha,ila sheikh allah akuongoze😂
2025-07-30 18:46:48
10
7mkemi :
jifunze kuandika kwenye video
2025-07-31 14:46:45
1
Nasib+254 :
Ameen 🤲🤲🤲
2025-07-31 21:18:21
0
best suma :
amin
2025-07-31 21:46:38
0
GWANYAKANGA!!! :
eti chumba kimoja kama kituo cha polisi
2025-07-30 18:49:57
6
baba shemeji :
Allah. tujalie bill ya moto imekuja na sioni ni shi ngapiii naambiwa toa Hela Wacha maswali
2025-08-01 05:26:53
0
Humbled Bless :
hapa kama hauna hela toka 🤣🤣🤣na wanajua kazi hatuna...dah shekhe mitano tena
2025-07-31 11:18:39
2
Tumsume Hashim :
kama huna Hela tokaa😁😁😁
2025-07-31 19:01:14
1
Abuubakar Rajabu :
shekh yupo serious afu kuna mtu nasikia anacheka
2025-07-31 18:01:58
1
Dr_aing'ong'o :
Hii dua iunganishwe na ile ya mchungaji Hananja
2025-07-31 08:49:32
0
To see more videos from user @mpakwako, please go to the Tikwm
homepage.