The truth of the matter is, tanzanias government has never like Kenya and Kenyans at all.
Walitujadili na kututusi bungeni kwao, we didn't reply. Now this. If you can be keen enough and check history of TZs towards Kenyans it's not mutual friendship. They don't like or even want Kenyans within their borders, period. More Kenyans are being harassed in TZ almost everyday. It's high time to be bold enough and close borders, even for sometimes ndio tujue nani muhimu na heshima itarudi. We need to gain back Kenyan pride and dignity.
2025-07-31 06:48:31
46
chocholincho nsepele. :
Mimi sielewi,
Uganda, Rwanda, Burundi na congo wako kimya ila Kenya mnaongea sana shida Nini ?
shida mnakibuli na ajira hamna
2025-07-31 03:54:42
40
Daniel :
Nyie wakenya hamna akili kabisa yani nyie ndio mnaongoza kulalamika alafu mnasema pesa yenu inathamani nendeni kwenu hatuwaitaji.
2025-07-30 23:09:42
8
beaty :
kwani kuna wakenya Tanzania how much is their currency into shillings 😅
2025-07-31 07:16:44
0
@Hanny Bwoy Roover :
Hao wakenya wako Tz wanafanya kazi gani surely 😂
2025-07-31 06:11:42
6
Mumbi 😜 ♥️ :
pia yy akujie viwete zake
2025-07-30 22:20:06
290
Emma :
mbona mnalalamika sana na mnapiga kelele ongera sana Tanzania yangu
2025-07-31 04:24:45
1
Diana Weightloss :
Watz wenyewe wavivu, tukitoka si mtabaki na biashara ya mhogo pekee😂
2025-07-31 06:25:03
15
God's child👼 :
gikomba kumejaa wachaga
2025-07-30 20:59:01
341
@mamu_mario :
Huku tana River maasai wa Tz wenye hutuuzia akala ni wengiiii they are even scared of what will happen if we decide to do the same coz hata ID hawana
2025-07-31 08:32:10
1
Mwita wa Tarime 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
PLEASE KENYANS KAMA KUNA MTANZANIA AKO KENYA OMBA OMBA WAFUKUZE TU kila mtua akae kwao
2025-07-31 07:52:04
13
Joseph Mugatha :
hata hapa Eastleigh ni wengi Sana, Na wanadharau wakenya sana
2025-07-31 02:29:00
41
frankboz :
nilipata MTZ kwa hoteli nikamwambia akeep change, aki aliwacha KAZI na ilikua 35 bob tu
2025-07-31 05:28:04
4
Eng. wills :
ukweli ni Tanzania government doesn't like kenyans at all and her target is kenyans in Tanzania
2025-07-31 08:18:15
3
Queen kish❤️😘 :
To be honest wakenya hamna heshima
2025-07-31 05:14:48
37
kiplangat :
hadi waganga wote wanatoka Tanzania 😂😂
2025-07-31 05:53:39
83
Annytahreekibe back up🇰🇼💦🥰 :
ata nashuku ndiye aliua Magufuli.ni dictator ubwa sana
2025-07-30 21:25:38
70
Yakub Gas Retailers :
I'm surprised to hear that Tanzania is considering East African citizens as foreigners. I always thought that only those from outside the East African Community were considered foreigners, not the other way around.
What’s going on with Tanzania? Is it due to insecurity?
2025-07-31 05:22:56
8
Nyaga's dota💕🥰 :
viwete wote waonyeshwe njia ya kurudi kwao
2025-07-30 22:35:55
31
Shedadi Abdul Muhamed :
Fukuza Warudi na Sisi Warudi Kenya.Sisi Tumeamua kujenga Nchi Yetu Sasa Pesa yenu Iko Juu Mkae Nayo huko iwasaidie Sisi hatuwataki na Pesa yenu kubwa
2025-07-31 10:07:14
1
Lyns :
shida Iko wapi??kwanini Kenya msifanye vivo hivo??
2025-07-31 03:35:23
15
mercy Johnson :
am from Tanzania 🇹🇿 nlisema sai atuna president magufuli magufuli ndo alikuwa president tu 😭😭😭😭hata sisi hapa atuna Amani 😭😭
2025-07-30 22:27:06
51
Mandela🇰🇪🇺🇸 :
sisi ndio tumedekeza foreigners na tunalia lack of job opportunities
2025-07-31 07:56:32
4
local prince :
wakenya SI hawkers Tanzania.... we're learned banaaa
2025-07-30 23:24:51
1
phintash :
mwingine juzi aligeuka mbuzi na hatukusema kitu🤣🤣🤣
2025-07-30 19:37:38
282
To see more videos from user @tiktok_tea_time_2025, please go to the Tikwm
homepage.