me tangia nimupende gig sijawai jutia maisha yangu 🤣🤣🤣
2025-07-30 19:54:08
198
t touch :
hakuna rafiki dunian rafiki yako Ni mama yako kipenz
2025-07-30 21:05:39
40
@trv🦺 :
gigy kwakwel nakupendaa tu for no reason
2025-08-01 06:22:26
0
🦋Mrs__yuda😜❤️🔐 :
wifiangu ndo rafiki yangu yaani nikikuta wanapigana namsaidia afu tukitoka hapo ndo namuuliza kwani ilikuaje🤣🤣🤣
2025-07-31 06:25:38
29
madam maya :
ao marafiki walisha kufanga na mv bukoba
2025-07-31 06:34:51
1
Foibe :
Rafiki wakuingilia ugomvi wa rafiki angu nimebaki mm tu mpaka namangeu usoni kwa ajili ya rafi Ila yeye sasa mmmh
2025-07-31 15:58:56
1
zuxynation urembo :
tatizo dada wanachosha jaman unaingilia ugomvi washogaako alafu wanakuja wanapatana unabaki na aibu
2025-07-31 09:52:21
0
Ivonsherry💜 :
wa ku like video 5 mkuje
2025-07-31 13:30:53
7
🦋December_Queen🦋👑 :
Uyo rafiki unaweza kustand nae kwny vita yake lakn mwisho anakusaliti yeye 😫😂
2025-07-31 06:06:54
3
chimama♥️ :
nakukubali sanq
2025-07-31 02:39:10
8
Amina Ally :
kweli kabisa
2025-07-30 19:56:33
1
Jojo disgn❤️🔥 :
kubabake kumamake💔😂😂😂
2025-07-31 06:18:37
2
Witness Ramadhan :
Nani anataka tuwe marafik🤣🤣🤗
2025-07-31 08:32:08
8
germaner :
ukosahihi my lovely😘
2025-07-30 20:48:57
5
Mariam Hussen562 :
dada unaongea ukweli
2025-07-31 19:26:13
2
Naomi Daniel :
hahahha kubababake unasema nini kumamae daaah gigy upo sahihi kabisa
2025-07-31 06:44:27
1
@Ice :
kweli aisee nimeifeel iyo cjui wanaelewa🤨
2025-07-31 06:47:27
2
Briannah :
@ras
2025-07-31 08:05:32
1
Ms Hafsa :
adui wa rafiki yangu sio adui Yani hata mtu asemeje niliwahi kuwa na rafiki kipenz kagombana na mtu nikaubebelea uadui khee baada ya miez uadui ukafa wakarudi kuwa na ushost wa ajabu mie uso ukanishuka weeeeeee 😂🙌 mniache tu
nikikumbuka niliingilia ugomvi wa lafiki angu mbaka nikapigwa alafu yeye alivyosikia nimepigwa kwa sababu ya kuingilia ugomvi wake akasema nina kiherehere mbaka Leo sitaki rafiki kuma nina😢😢
2025-07-31 19:09:51
2
Rehema Abdarah :
sana2
2025-07-31 08:21:53
1
Irene 01 Collection :
true
2025-07-31 08:15:01
1
To see more videos from user @soundofmusiclyrics, please go to the Tikwm
homepage.