@straightfartv: Hii ni maajabu #kenyantiktok🇰🇪 😂 LIES OF SENDING KENYAN YOUTHS EXPOSED BY A SHARP GENZII

Straight Far Tv
Straight Far Tv
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 31 July 2025 10:46:11 GMT
173657
8826
1090
2601

Music

Download

Comments

dan.billionaire
Dan Billionaire 💸💰 :
KQ pekee yake ndio unajua?kuna airlines mingi sana at Jkia na zinafly daily kumpaf
2025-07-31 23:08:31
1
s_works_engineering
S.W.E.C. :
Hizi speeches za Ruto should be aired live on Supersport juu ako na mchezo sana🤧
2025-07-31 19:58:39
387
bonniellefaci
user1687631012348 :
MaYouth were conned by their government...
2025-08-01 15:17:01
1
jaygee_jay
Jay Gee :
watu wa tutam can you see rhe importance of free education
2025-07-31 19:22:39
156
villager2537
Black People… :
Huyu ni mkikuyu…
2025-07-31 18:34:51
7
davedee186
davedee186 :
Genz mnafanya kasongo akae fala😅😅🤣
2025-07-31 20:31:01
72
franky_mk
Frank :
😂😂ndio maana hawataki watoto wasome ndio wapate wajinga wa kudanganya
2025-07-31 15:28:28
621
chemos.i
Chemosi :
Mimi nilidanganya mama yangu lakini sio ivi
2025-08-01 12:46:13
5
anonmaz2
anon maz :
huyu rais anadhani anaweza bishana na masomo ya kibaki🤣
2025-08-01 18:14:37
1
muchitech1
MUCHTECH GROUP :
alisahau kufanya hesabu ya revenue 😂😂 $1000,000,000/400,000= $2500= ksh. 322,500 per person 🤣🤣
2025-07-31 20:40:05
12
dennisspaarta
leoo :
wakikuyu walitukosea sana kuchagua uyu mtu
2025-07-31 20:11:32
22
wawesh5
@njeri m :
hizi akili Ruto hawezani nazo very brilliant jameni
2025-07-31 13:55:29
23
martinmurimi44
Martin Murimi :
ebu tupigie hesabu ya billion dollars sasa😂
2025-07-31 19:17:55
18
nysedd
Dennys :
Mafala waliisha Kenya. Kasongo anafikiria tuko Moi days. Watu walichanuka 😅
2025-08-01 03:36:21
11
nellygash
user independent thinker :
1 billion dollars..in ksh is? hii ni bangi kwa kichwa.
2025-08-01 07:02:11
3
kandara_tv
Kandara_TV :
"I'm not a mad man"😌😌😌
2025-07-31 17:13:26
57
chimudu26
Chimudu Blacks :
mtoto mwerevu kama mamake😂
2025-08-01 11:48:27
2
warima_muggi
Warima :
1 billion dollars is around 130 billion Kenya shillings. If you had one billion Kenya shillings and spent 100,000 shillings daily, it would take you 27 years for the money to run out. Please tukuwe serious😏
2025-07-31 20:12:04
2
cm.kenda
cm.kenda :
Ghaaaaiii 😂😂😂😂😂 Farouk kibet ndio alikosea hesabu💔
2025-07-31 20:44:34
8
xaimo254
xaimo254 :
"Hii nchi tunaibadilisha" 😂😂😂😂😂
2025-07-31 21:54:15
3
jaymohstima
Stima :
Na ako ndani ya kanisa AIC 😂 na washirika wanampigia makofi.
2025-08-01 07:17:02
4
fablisiakiendi
fablisiakiendi :
Hadi nimeenda kucalculate😂😂😂
2025-07-31 18:40:22
4
jimmymuini01
Mugwe wakaba :
hata imenibidi nifanye hesabu nilikuwa nafikiria ni context enyewe hii ni maajabu
2025-07-31 18:48:08
16
jc50594
jc :
indeed it's true izo remittance ni zile wanapata kutoka kwa agents coz ministry ya government inapatia kazi agent then agent anatafuta different agencies eg ile job ya ( mowasalat karwa) so utapata commission varies but the same company 😂
2025-08-01 15:08:51
1
essywills4
essywilliams :
It was supposed to happen spiritually 😂😂😂 kwani wadau hamkupewa macho ya kiroho😩
2025-07-31 22:19:22
6
To see more videos from user @straightfartv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About