@avopatips: Umefungua jana biashara, unajiita CEO, je unajua hivi vitu.? #avopatips #kijana #biashara #CEO #maisha

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 31 July 2025 13:56:46 GMT
82666
3519
147
222

Music

Download

Comments

2023lyimo
2023lyimo :
Asiwatishe vijana, kujua misamiati sio kufanikiwa katika biashara
2025-07-31 15:26:53
29
annakisaka316
AKE :
Sasa hayo ya nini🤣🤣🤣 kikibwa ujue kurudisha chenchi bro
2025-07-31 19:45:49
24
kingchaz82
Welding killer :
😂😂.. kipnd najikusanya kwahcho kihasi kidogo Cha biashara ulikuwepo😂😂... nacho jua mm ni CEO
2025-08-01 06:52:32
3
gidell5
Gideel media production 📸📸🎥 :
Bora biashara ni yake ni CEO roho mbaya nyinyi😂
2025-08-01 13:46:05
1
user875jm
Mr Jm protocol :
kwan ulitakaje ww mtaji wako kwani 🤣🤣🤣🤣🤣 waache watu wajipe majin wayatakayo hela yako mbn makasiriko ivyo mkuu🤣🤣🤣
2025-08-01 13:45:11
2
user6256967611817
mr j :
Jana jamaa mmoja wa apa dodoma kaka dukan kwangu anasema toka Mzee amekufa mzidi kupandisha Bei Kila kitu nilimuangalia wee nikajua awa ndo wale wale
2025-08-01 09:25:38
1
damcl2022
DISCOVER AUCTION MART & CO LTD :
kwani ukijua hayo maneno ndo umefanikiwa? jinga kweli
2025-07-31 21:25:24
4
chrisdemziwanda
Chris de Mziwanda :
Hakuna aliyewah kuishi dunian kwahyo tupunguze maelekezo 😁
2025-08-01 09:44:50
1
jumajumanne345
Jey@money :
invoice haifanyi biashara lugha zako zakigeni haziiti wateja alafu mbona sisi hatukujui
2025-08-01 07:32:03
3
thealladin16
Aladin16 :
Yan watanzania bwana hahahah yan mtu kutaja vitu kwa lugha ya kikoloni ndio anajiona anajua na ndo msomi watu wanarun biashara na wanamapesa wakinga wapo kkoo wanaagiza mizigo kutoka china wana makampuni ya usafirishaji na hawana hata master ya hayo madude unayo yataja hapo
2025-08-01 06:02:48
8
meddaprince
DAMIAN MAGANGA :
acha kukatisha vijana ndoto zao we ushakuwa c.e.o au ndo nyie mnaotka kujilikana kupitia watu
2025-08-01 07:47:51
1
ngoyibusinesconsultants
ngoyibusinesconsultant Ltd :
kwa nza kila mtu ni ( CHIEF EXECUTIVE OFFICER)C.E.O swala la kujua lakuto kujua ni mbele ya safari almihimu jitahidi kujiendeleza na kukubali kujifunza na kuwa mtu wa tofauti mimi nimejiita C.E.O toka nipo darasa la sita 2008 na sikumaliza shule niliishia darasa la sita. primary school lakini sasa hivi nina miliki kammpuni 4 ikiwepo hii ya NGOYI BUSINESS CONSULTANTS LIMITED
2025-08-01 16:56:41
0
porinitoursandsafaris
Porini tours & safaris :
Sasa huu ni ujinga nikishakuwa CEO naajiri ambae anajua izo vitu unazosema, then unafanya kazi kwaajili yangu. kujua Proforma au quotation sio issue ya msingi
2025-07-31 19:14:19
5
alwatan.adili
Adili Ladislaus :
yeye anajua na tunamzidi mkwanja kipimo cha mafanikio kweny biashara ni pesa
2025-07-31 17:24:36
4
yox.chaqre
Yox Chaqre :
hayo maneno inawezekana anayafahamu kwa lugha ya kiswahili au kisukuma sio lazima ayajue kwa kiingereza ndo aonekane ni CEO
2025-07-31 22:05:12
2
cravejudges
Crave Judges :
office ni yangu usinipangie jina la kujiita
2025-08-01 08:52:35
0
user9944201582403
Dr.TiNO :
usilete u serious sana KWENYE ISSUE ZA WATU...TUMIA ELIM YAKO ....ILA SIYO KUPONDA VIJANA😅😂😂
2025-08-01 04:52:35
3
sharif.hodari
SHARIF HODARI MGANYIZI :
boss bishara ukijua hesabu tu mwngine mungu anakufungulia
2025-08-01 08:33:25
0
yohana.mwita76
Yohana Mwita :
ushamba tu unakusumbua ayo mambo kwani wewe unanini? Digree fala ndio hizi
2025-08-01 12:02:45
0
vena.henovate_cages999
vena.henovate_cages :
Period zinawasumbua nyie na Mic zenu,mlikuwa washauri kwenye hela zetu na matumizi mkaona mmeshindwa mmeamua kutupangia na majina ya kujiita kwahiyo nikijuwa maana ya hayo meneno bank account yangu digits zitabadilika au? bongo hatufanikiwi kwasbbaau ya ujuwaji mwingi haswa nyie mnaokaa kwenye hizi 🎤
2025-08-01 05:45:25
1
mylifeasrene
mylifeasrene :
usitutishe
2025-08-01 16:48:36
0
emanuelilusana
emanuelilusana :
kwani kingereza ndio unapata pesa mbona wengine hatujui hata hiyo rugha ya kibapeli na tunapata pesa
2025-08-01 06:09:19
0
ngelejaplumbings
Ngeleja Plumbings@gmail :
nakuona kaka umasikini umekupiga sawasawa😂😂😂
2025-07-31 19:29:24
4
leejose68
Lily Jose :
Sasa Kwan akiwa ceo si anamuajil mtu wa manunuz 😆
2025-08-01 10:08:18
0
diva56152
Diva :
We tuache bwana ee tunapt mtaji kwa shida
2025-08-01 09:39:53
0
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About