Mwenye wallet labda hata hajui wallet ni yake anabariki padre 😂
2025-08-02 07:50:59
0
POLLYN.🇰🇪 :
huyu ni pesa anapeane badala anunue bra ya maana,mbona watu hawajipendi aki
2025-08-01 02:47:17
436
kefini :
her:calling bestie!! baibe kwani Jana kuliendaje
bestie:mbona baibe
her:nilikuwa na 50k Kwa hand bag kwani what happen Sina enii
bestie:ebu ingia Kwa page ya dibul uone vile vile ulichachisha😅
her:baibe hungenikataza na nlikuwa mlevi
bestie:nlijaribu kukukataza na hukuskia
me:😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-08-01 10:04:09
45
kanisee💫✨ :
zikishuka anakulaani 😂😂😂
2025-08-01 20:33:18
6
PRINCE J :
hii wallet ni ya mtu wake😂😂😂fear ladies
2025-08-01 10:45:40
347
@1NJIKU❣️😍 :
hii ni wallet yah mubaba inafanywa hivii😂😂😂😂😂Alafuu akiamka Kesho anaskia aty pesa nilikua nikupeee ulipea father kwa clabu😂😂😂😂😂😂
2025-08-01 05:38:14
59
Honestly :
Mimi Niko kwa nywele ya mwenye kupeana pesa😂😂😂
2025-08-02 09:07:16
0
Baby girl :
nimefika 9k na wewe
2025-08-01 00:46:45
51
felly ka katangi :
huyu mama alichukua loan ya oya Jana ni jirani yangu🤣🤣
2025-08-01 17:39:30
6
Solohmcoast :
What's the net worth of that lady😂
2025-08-01 06:56:09
18
Jaymo Kamande :
hizi pesa mnatonga wapi
2025-08-01 05:28:08
27
Peter Gith :
uyu akiamka asubui😅 ndio zile za meja, kweni Jana kuliendaje...aje..🤗😂
2025-08-01 05:07:15
10
dorahkb1 :
wacha niassume ni content tu kama zile zingine
2025-08-02 09:18:16
0
soila845 :
Wacha tu zishuke ndio ntajua ata transport hamna🤣🤣🤣
2025-08-01 06:29:54
7
🦋Naserian🦋 :
hata nywele hajamaliza kusongwa 😹😹😹
2025-08-01 06:44:37
86
Gk :
Huyu anadhani analipa rent kumbe amelipa ya club😂😂😂😂
2025-08-01 22:10:40
5
Thriftwithshipepi :
🤣🤣🤣me spending my man's money bila kutambua
2025-08-02 08:51:22
0
KING 👑 OF SMILES :
Kuna hitlafu time zitashuka😂😂
2025-08-02 08:12:40
0
thomas mwangi :
asubuhi wajaribu kurecall wakufa
2025-08-01 13:19:51
3
peter pi :
niconnectini na huyu mumama ,maisha ikue swaaah
2025-08-01 18:26:40
0
mbinya❣️💦💯💯 :
huyu Wacha zishuke tuendeleee kulia na yeye😭
2025-08-01 17:58:06
9
Stella Essy :
hiyo kipara haikosi ni wa akina kifaki😂
2025-08-01 06:52:08
9
eddy shiks :
WA shikoh . pumpers zimejipa
2025-08-02 06:26:28
1
To see more videos from user @dj_dibul, please go to the Tikwm
homepage.