@fathysaidi: Replying to @mm wawil

FATHY SAIDI
FATHY SAIDI
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 06 August 2025 06:07:22 GMT
565521
20912
748
5939

Music

Download

Comments

bonfacewandera180
Bonface Wandera :
karafu ndio nini kwa kingeresa
2025-08-07 12:47:28
7
jamilahciff_store01
jamilahcliff_store 01 :
ukitaka pesa kaa kwa mswala umba kwa muungu sio chumvi wala karafu hazina uwezo wa kufaja jambo
2025-08-08 15:27:39
18
switzerland758
frank mwangi :
will gonna try this
2025-09-18 09:51:38
0
bnt.abdalla0
bnt abdalla :
sasa hiyo chuvi ni ya mawe ama
2025-08-06 17:24:52
6
user17557584131768
la dodo rama :
kweli kweli mamy! nili fanya leo nime kosahata nafasi yaku weka watu kwa restaurant yangu! asante sana mamy mungu aku bariki sanaan🤣🤣
2025-08-07 19:52:53
12
twizeyimanayusufu
Twizeyimana Yusufu@ :
chumvi gani
2025-08-16 08:01:33
1
furaha.banange
Furaha Banange :
karafuko ni nini
2025-08-17 17:29:26
3
noella.adidja
Adidja Noela :
ni kweli kabisa dawa Yako niya ukweli kabisa Asante sana🔥🔥🔥🔥
2025-08-21 17:45:17
0
qwwwaaaaah
kikojozi :
rizk iko kwa Mungu alichokuandikia rizk yako ni hio hio ukeshe ushinde hisabu yako ni hio hio
2025-08-09 02:30:23
3
mgenimohammed323
Mgeni Mohammed :
chuvi ngani
2025-10-04 09:31:36
0
fayalle.blessing
Fayalle corazon blessing :
Nataka kujuwa karafu Ndo nini
2025-08-06 10:04:17
15
bi.fathmasalu
MAMA COUNTY :
shukurani dadagu Allah barika
2025-08-07 21:47:30
1
mamanai50
Mamanai :
karafuu kw kingerez n cloves
2025-08-06 16:30:37
1
user5130855585593
mamy,nilham💞💖🌹 :
naomba n mm ya mvuto wa wateja kazin kwangu
2025-08-13 20:29:00
1
mukulu313
mukulu :
mimi situé karafu
2025-08-07 21:34:28
1
user3307824921819
user3307824921819 :
dd karafu unazianika ili zikauke ndo uzisage?ao unatwanga ziko na maji?
2025-08-07 10:46:37
3
user5732705731628
notia Séraphine :
amena
2025-09-15 04:03:11
0
ellasydickson15
Ellasy@chiona :
wewe unazo hera
2025-08-06 17:57:40
2
kv.jk7
Justin nandez miba :
chuvi ni dawa kwa sisi wenye imani,tuna ushuhuda wa mengi
2025-09-12 02:01:19
2
kingsalu90175230260067
king salu 3 :
ila we bint ni mrembo jaman
2025-10-09 04:16:56
0
agnescharles0
Agnes Charles :
inawasha nimepaka nikasahau nikashika kwa bibi weeee nilijuta
2025-08-06 09:08:36
10
kobe3519
kobe :
huyu dada jamaniiii kwenye ile ya chumming ya mawe na nilimuelewa sana na nilifanikiwa mno
2025-10-05 04:20:11
0
halima.kishoka
Halima Kishoka :
karafuu maiti au karafuu ya kiungio
2025-08-17 06:12:25
1
francine.karil
Francine Karil :
karafu ni nini,mpenzi?
2025-08-14 09:19:08
1
To see more videos from user @fathysaidi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About