@godfrey_thedisciple: SIFA ZA TAJIRI NA MASKINI

godfrey_thedisciple
godfrey_thedisciple
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 06 August 2025 06:21:38 GMT
114570
5454
174
788

Music

Download

Comments

yusuphudaniel695
Yusuphu Daniel :
Maneno ya kuambiwa changanya na yako, uwe na pesa usiwe na pesa swala la kuvaa vizuri ni tabia ya mtu,
2025-08-06 11:17:00
85
pollo_tattooink
Pollo_tattoo :
Utaskia umaridadi unaficha umasikini 😂😂 unaficha umasikini gani yani unapendeza alafu unanjaa na matatizo kibao si usenge!
2025-08-06 15:25:27
18
officcial_latifah
Official Latifah Dangote :
Sivai vibaya kwakua sina hela wacha niwe mjinga kama usemavyo bora nivae kwakua sina fresh tuu labla ndo fikra zangu😂
2025-10-14 13:05:34
1
osumrope
Osu Mrope :
sasa wewe ni bill gate..!!😂😂
2025-09-30 20:10:54
0
shaddy.one.brand
shaddy one brand#£ :
mbn wew ujavaa vesti
2025-10-16 07:39:25
0
sherinewahid02
sherinewahid02 :
Hapana siwezi kuvaa yebo bana😊😅
2025-10-05 19:48:59
0
bfarm17
B farm :
Maisha hayana formula ishi utakavyo mambo ya kuishi kwa kuangalia watu ni utumwa tu u smart muhimu mtu unakuwa na ela halfu mchafu hasa hizo ela za kazi gani.
2025-08-06 18:35:50
4
richieclaud7
Richie Claud :
Ungekuwa unaongea umevaa sulual imetoboka matakon ningekusiliza vzur sana😅😅
2025-08-27 11:05:58
1
holdon552
HOLD ON :
Et tajil mchaga we unajua tu wenye hela niwachaga au umekalil tu
2025-09-01 08:23:45
1
adamskatunda443
ASK2 :
unakuwaje na pesa alafu uwe mchafu kaka😂
2025-08-29 07:48:56
1
reyneer05
rousa :
hapa umeongelea tajiri wazee ndo hawajali muonekano siyo vijana
2025-08-06 15:48:48
0
jamesjrtz
jr James :
kwa hiyo na wewe umevaa vizuri ili utapeli
2025-08-06 18:21:25
4
swidickyassin4
Swidick yassin :
oya maisha maamuz kuvaa vitu vyang at iwe pea moja
2025-09-01 19:29:43
1
maxmillianblasius
Maxmillian Blasius :
labdahela za kichawi
2025-08-07 17:45:52
1
kunajoto001
kunajoto.001 :
sasa watu wasingare😂😂😂😂
2025-10-05 10:48:10
0
user4213183933741
user4213183933741 :
siyo kukaa situdio doo anaakiri wegine wameeda kwamchogo
2025-08-20 16:03:44
1
gabrielmasangwa
Gboy Mnyamwezi :
Tangu lini maisha yakawa na formula ng'ombe wewe hebu angalia ulivokomaa kudanganya watu wakati wewe kuenda kukaa na kuongea haya unayoyaongea umevunja kabati nguruwe wewe.
2025-08-08 15:10:49
4
madamboss215
@Nifashe madam :
hiyo ni kwel bro
2025-08-06 16:49:03
0
theyassor6
wirtz 933 :
mmmh maneno yako baki nayo mwenyewe
2025-08-07 13:18:17
2
philipojustun
Philipo Justun :
swal la kuoendeza na pesa ni vitu viwl pekeake
2025-08-10 09:38:11
1
qoby.axwry
Rogers_DAUDI :
Ukiwa nazo ushauriwe kuhusu Kumshukuru Mungu na mlo sahihi ila ukiona ushauri wa kujinyima kutoa kipaumbele ni kwa WALE HAWAJATUSUA 🙏
2025-08-30 09:17:58
1
mavalaludewa1
Last born✅️ :
ujinga tuu sasa Kuna maana gani ya kuwa na hela
2025-08-08 12:45:22
1
rasheed.sein
Rasheed Sein :
Sikiliza akili yako
2025-08-11 09:20:13
1
giddy304
Giddy :
Hakun ukwel hapa . Usmart n muhim ktk maisha
2025-08-06 14:34:03
1
mr_richard_grandmaster.1
CALL.ME.👉+255752552039 :
Sasa ndio utajili gani huo wa kula majani 😁😁
2025-08-31 10:03:13
2
To see more videos from user @godfrey_thedisciple, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About