hii kitu mungu ndio anataka msifu sifa zake mbele za watu tena tokea moyoni kiukweli kweli doto magari ameshuhudia ukubwa wa mungu kweli uwezi kumuelewa kama unachukulia poa
2025-08-08 05:07:56
39
CHAZIOO :
anaongea kama fara lakini madini matupu fact sana
2025-08-08 18:07:12
20
GHOST 3908✌️ :
jamaaa anaongeaga fact japo kuwa kwa muundo wa masihara🥺🥺🙏..mungu wetu sotee🙏