@kidesudp: To my friends, Church Oganists (Ecclesiastical Organists...) . Nimeandaa program maalum (KDP VIRTUAL MUSIC COACHING PROGRAM) ambayo itakusaidia kuboresha zaidi kile unachofanya kama mwanamuziki. Inawezekana una uwezo wa kawaida lakini unatamani kufika uwezo wa juu zaidi. . Humo utajifunza mambo mengi yatakayoboresha upigaji wako wa kinanda, lakini zaidi utafundishwa jinsi ya kujenga nidhamu ya mazoezi, stadi za kujiamini kama mwanamuziki, na maarifa mbalimbali yatakayoboresha muziki wako. Kwa zaidi ya miezi mitatu, program hii imesaidia wengi Tanzania na nje ya Tanzania. . Ikiwa unahitaji kuwa mmoja wa wanufaika wa program hii, andika comment yenye neno NAHITAJI. #tiktokenya🇰🇪 #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬