@rosa_ree: Ifahamu historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeiongoza Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, baaada ya kukianzisha chama cha Tanganyika African National Union (TANU) na kupigania uhuru kutoka kwa Uingereza na baadae kuunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ikazaliwa Tanzania … Nyerere alifanikiwa kuleta umoja kati ya Watanzania kupitia mfumo wa “UJAMAA” na Lugha ya Taifa ya Kiswahili na vile vile alikua kinara katika kupigania muungano wa nchi za Afrika! #AfrikaMustRise #AfrikaUnite #ALKEBULAN LINK ON BIO✊🏾

Rosa Ree
Rosa Ree
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 07 August 2025 11:26:24 GMT
155216
12365
281
1197

Music

Download

Comments

silver_official2
Silver official :
Lazima niharibu kituo kimoja cha kupigia kura bora mniue tayari mke wangu ana mimba
2025-10-06 06:40:05
0
thedowntownowl
The Originals🇹🇿🇿🇦🇰🇪 :
kumbe ruhusa tulisha pewa na mzee
2025-09-16 05:23:21
163
tknyamwezboymasterjesh
TK Nyamwezboy MasterJesh🇹🇿 :
Jamani Tununueni MANATI siku zimeisha
2025-09-18 21:35:25
75
lyreen3
Irene decor. :
Babaa tanzania tunaiwek mikono salama.upumzike kwa amani
2025-10-05 20:04:23
0
shedrackgodson59
Shedrack Godson :
gonga like kwa nyerere na rosaree pia. Africa tutaamka tu 🙏
2025-08-07 11:35:43
67
sahim.sule
Sahim Sule :
Baada ya kuiba saiv unakua mwana history
2025-09-16 17:53:10
16
brother.saleh1
Mr.Saleh🇹🇿🇰🇪 :
:kwani video haijakutosha mpaka uje kusoma comment za watu 😂🤣🤣🤣
2025-08-07 17:14:44
60
blessdion3
bless :
unasauti nzuri ya uandishi wa habari inavutia🥰
2025-10-05 07:07:49
1
.bn.omar8
Bn Omar :
😁😁WALIO MUELEWA MWALIM NYERERE TUJUWANE😁😁😁
2025-09-16 19:37:29
14
b.drimer
b.drimer :
embu tujarib bhn me nitakuw mstari wa mbele
2025-09-18 14:19:18
7
drwizard_3
Dr Wizard :
kwann taifa letu lisingeitwa Elizabeth mana. queen Elizabeth ndio alie mpa wazo la kupigania uhuru na kibali na alimuelekeza sehem muim za kuingia pia Alipita kwa jina la queen Elizabeth tena alipata uhuru wa makalatas na sio bunduki mama Elizabeth mungu ampe pepo yake japo tumemsahau kabisa yeye na wema wake sifa zite kwa uyu mzee
2025-10-05 10:14:57
1
user9349020787720
Relove 😍😋 :
mbona kama viongozi wakubwa wanchi wakitokea kwenye taaluma ya uwalimu wanakua waadilifu na wenye huruma na uzalendo Kwa nchi yao
2025-09-16 13:27:26
10
xanderzizzou29
@Zizzou :
Mwalimu alijitahidi kumzuia Kikwete 1995 akafanikiwa, jamaa bado likagoma kutulia 2005 likarudi tena kutaka kuja kunyonya nchi🙌 yan lingefanikiwa toka 1995 sijui hii Nchi ingekuaje aisee yani ingekua worst kuliko ilivo sasa
2025-08-09 01:54:50
5
yasinta.charles1
Yasinta Charles mkaka :
yani cjui tutapata uhuru wa kuongea lini tokea huyu mwanaume qmeondoka sis watanzania tumegeuzwa kuwa punda😭😭😭wengine wanatqjirika na mali za watanzania😭😭tunqteseka bqba nyerere amka ata mifupa yako tu uone tunavyoteseka watoto wako uliotupigania saivi atuthaminiwi tunaishi kama kunguru😭😭😭ata kivuli chako kikitokea kiseme neno tutapona😭😭😭😭
2025-08-07 12:36:01
12
bite0191
Bite :
ipo siku tutaamka
2025-08-07 13:03:55
10
bottawiggo
wiggo :
Uyu Ndo alikuwa Kamanda
2025-09-19 06:15:02
6
daniely.boniphace
Daniely boniphace :
oya trh 29 hatupigi kura
2025-09-17 11:15:02
9
shuh.mziwandah
Shuh mziwandah :
kwann tuliungana kwann Tanganyika iwe Tanganyika na wazanzibar wawe kivyao msxeuuuu
2025-08-11 23:56:46
0
shailance1
Shylance1 :
Kwanini wasitumie hizi voice kutongoza nchi
2025-09-19 19:49:15
5
stephenmendamenda
Stevenmenda⚒️ :
facts lazima tufanye Revolution
2025-09-21 06:19:18
2
samwelinyari773
Samweli Nyari :
it's rosery no reform no election
2025-09-10 09:08:03
2
user4276150469956
makali24 :
@makali24:@makali24:Jana nmeota nmepga kura nkaamka nkachukua kisu njichinje kabla sjajiua nkakumbuka sna hata kitambulisho na sjajiandikiasha🤣
2025-09-18 20:29:27
1
hardsoncharless.com
Hardson Charless Uisso✅️ :
kwahiyo sauti na vituo unavyo simama,naomba uwe mtangazaji wa television 📺 ya taifa, tena wakupe mshahara wa million saba.🔥🔥🥰🥰
2025-09-23 06:40:02
2
simon123wq
Simon nuruson :
rose ree umenikumbusha sarafina freedom is coming tomorrow endelea kupaza sauti tunataka mabadiliko
2025-08-08 07:53:27
6
To see more videos from user @rosa_ree, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About