@zebra_restaurant_: ARABIC RICE (INAPATIKANA KUANZIA SAA 6 MCHANA) Hii Sasa ndo funga kazi, wale wanaokuja kula jioni na kukuta chakula kinaishia, tumepata package ya kumaliza hilo tatizo, Sasa tunaweletea ARABIC RICE. RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 4 USIKU, Hii ni combination ya aina 4 za wali wa kimwambao wa pwani na kiarabu(kunakua na Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua)...HIZI PACKAGE ZITAKUA ZINAKUA NA EITHER, SEKELA, KUKU NDIMU, KUKU NDIMU MAZIWA, KUKU SHUMA SHUMA, MISHKAKI...kazi inakua kwako mteja wetu kusema unataka ule ARABIC RICE na nini...Packages zake zitakua kama ifuatavyo 1.ARABIC RICE NA SEKELA NUSU = 17,000 (mtu 1) 2.ARABIC RICE NA KUKU NDIMU NUSU = 17,000 (mtu 1) 3.ARABIC RICE NA KUKU NDIMU MAZIWA NUSU= 17,000 (mtu 1) 4.ARABIC RICE NA KUKU SHUMASHUMA NUSU= 17,000 (mtu 1) 5.ARABIC RICE NA MISHKAKI MITANO(NUNDU 2, FILLET 3) = 17,000 (mtu 1) 6.ARABIC RICE MIXER YA MISHKAKI 3 NA KUKU NUSU = 23,000 (watu 2) 7.ATABIC RICE KUKU MZIMA =25,000 (watu 2) 8.ARABIC RICE NA KUKU MZIMA NA MISHAKI 3 = 30,000 ( watu 2) 9.ARABIC RICE NA KUKU MZIMA NA NUSU = 35,000 (watu 3) 10.ARABIC RICE NA KUKU MZIMA NA MISHKAKI 6= 35,000 (watu 3) KUWEKA ODA TAFADHALI:- PIGA 0688 151783 au 0658722393 KWA ODA JIONI PIGA 0745117440 KWA DELIVERY PIGA: 0764 689647 TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.,

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 August 2025 11:29:44 GMT
60689
1140
9
28

Music

Download

Comments

reylove86
Reylove🩷 :
ebu ngoja kesho nije na ba mtu😅
2025-08-18 12:05:17
1
demousty_a2ma1
Demousty_a2ma😘 :
kama hicho ni cha watu wangap...? na hw much..?
2025-08-17 12:54:24
1
sonnysam03
Sonny Sam :
ivi mnafanyaga delivery kwa watu wa Arusha?
2025-08-27 07:39:49
0
allymusa19
fanja 36 :
mk sehem gan
2025-08-18 20:59:22
0
user4812384386092
Jay.457 :
mko wp na sehem gn@ZEBRA RESTAURANT
2025-09-11 11:09:36
1
judithstephen_
Judith Stephen :
😳
2025-08-18 17:44:27
1
goldbird014
gold🦜🦚🐦 :
😘😘😘
2025-08-17 11:42:14
2
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About