@kingsley_adriane:

Kingsley 👑
Kingsley 👑
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 17 August 2025 19:05:42 GMT
133909
5998
189
136

Music

Download

Comments

kevatine2003
ᵏⁱᵖˡᵃⁿᵍᵃᵗ :
enye umepata nayo inakurudisha kwenye umetoka😁😁😁
2025-08-17 19:10:04
289
davevender_0
Davevender :
unatafuta na WiFi 😂😂😂
2025-08-18 04:24:38
61
winyfreshermirand
LOVE KE :
siri ni number plate ama wifi😂
2025-10-16 07:41:39
0
mumewangu.254
@Mumewangu.ke🫡 :
Siri ni shika no plate😂
2025-08-18 09:26:46
28
missallegra997
Miss Allegra :
unashuka ikiwa Moja unarudi zikiwa kumi 🤣🤣🤣🤣
2025-08-18 04:23:11
91
fundiwamshipi
Mickey :
mm hupiga no.plate picha...hyo mchezo sitaki😂😂
2025-08-18 17:20:47
39
chemuu.sk
chemuu sk :
me after vomiting all through the journey to eldoret mpaka najisahau 😂 I only knew I was in a black . northrift..then boom naona gari ya black imeondoka ...Wakati Bado najaribu kupunga hewa😂 I ran after the car trying to stop it but all in vain .. mind you the phone was left inside the car. I had to sit down beside the road and cry 😭 only for my driver to come and tell me ni wewe tunangoja .. I was so ashamed
2025-08-25 16:05:47
7
lil_muisyo
icon :
mkuu umezoom na simu gani 😅😅
2025-08-17 19:38:56
11
nyathiochieng1
Montessori :
unashika number plate
2025-08-20 04:59:33
1
bhokehellen3
bhokehellen3 :
easy coach nashikanga zile number za nyuma like 414 🤣🤣 coz nisha wai jikuta gari si yangu🤣🤣🤣
2025-08-18 21:51:21
7
patrick_journalist
patrick journalist :
usipomark number plate utapanda yenye inarudi kwenye umetoka😅
2025-08-18 02:39:45
10
angeloloo7
Angel Oloo 💞💖🤍❣️ :
happened to me😅😅😅 the people in the bus be looking at you loke🤗🤗🤗🥰
2025-08-20 12:17:36
0
user1715825971258
Mimi sijatusi mtoto :
bora zote zinaenda Nairobi,shida ni utoke Nairobi unaenda Migori unajikuta port Victoria
2025-08-19 03:50:54
1
fidel.mbithi
mbithifidel :
nikitoka lazima nipige number plate picha Kwanza ju wewe😅 day ingne karibu niwachwe pale mtitu😅
2025-08-18 16:07:38
10
mkurugenzimatere
Matere :
usiku sacco 💯💯💯
2025-08-17 19:08:38
2
madlinemasiga
madline :
nilishwai ingia ya kakamega pale Nakuru instead ya kuingia ya kwenda Busia😂😂😂😂
2025-09-04 05:03:14
0
akinyibae2
akinyibae2 :
mi na mark dereva
2025-08-19 02:50:46
0
user...com5
king of kings :
umegusa ndipi...ukikosa ingia yeyote Bora receipt
2025-08-17 19:34:21
2
kingjofficial001
Only one King J :
Shida ni uingie ya kurudi kwenye umetoka... utaanza ku shout hapo kama wazimu😂😂😂
2025-08-17 19:21:31
7
uchebeedaniels
Uche :
😂😂😂😂siri ni ukishuka angalia number plate na usitupe ticket m
2025-08-20 06:37:26
0
ulujayb
ulujayB :
kama mm kuna siku nili ingia wrong mash nikapata it looks different nikajua am in the wrong bus nilishuka mbio 😅😂
2025-08-19 09:49:52
0
mercyotieno1
@ mercy otieno :
shika number plate ya gari yako usipote
2025-09-17 11:01:46
2
user2309972226761
Izy :
mimi hukram number plate otherwise nitajipata business border😂😂
2025-09-17 14:03:05
0
watsonoloo
watsonoloo :
thats my travelling machine 🙏
2025-08-19 07:48:31
0
eve.nyakach
Eve.nyakach :
ilifanya nitafuta gari yangu mbaya,KDQ..niliteseka
2025-08-23 18:43:36
1
To see more videos from user @kingsley_adriane, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About