Next year ndio mtajua PE ni nini. Senior school mmekuwa mkicheza. hawa wako jss wanafanya kama learning area na iko na equal lessons na maths.
CA will humble you 🤣
2025-08-18 10:50:40
14
mumo mercy 🦋❣️ :
term three tuache kweli na tunakibiza syllabus 🤣
2025-08-18 14:03:45
0
Castrocols :
not me telling my form 3's ,,probability ni mrefu kiasi,acha tuunganishe hzi PE zote tusome probability😂😂😂
2025-08-21 11:21:27
1
Minboyz :
Next year iko kwa syllabus grade 10 like other learning areas
2025-08-19 20:29:22
2
faith20 :
Don't worry Mr next year I don't know if you will telling us the same story 😂😂
2025-08-18 11:41:39
0
Lilian Atieno :
sad enough their is a school without a field mtoto aliingia shule hatoki class
2025-08-25 16:27:24
0
miss drama🥰✌️♥️🤪 :
😂😂😂 how can post on my school portal
2025-08-18 10:28:10
0
ritahcherry🌟 :
kahutini huwezi ata guza P.E lessons kwa sababu ni lesson kama kawaida..😂
2025-08-18 10:52:17
11
❤️❤️lucky girl francy :
Kuna mwalimu wa high school wish sngekuwa hii tiktok nimtag Mr mkamani alikuwa anashikanisha hio PE and incase I hapen break ndio imefatana na hio PE mzee atatandika hio masaa yote then anatuachia assignment ata asking kujuwa kama nimedlewa🤣🤣🤣🤣
2025-08-18 14:31:34
0
Tr.stella :
Nowadays is teach during your lessons alone and go home.
2025-08-18 10:50:56
8
Luffy :
You spoke for all of us 🙏🏾 🙌🏾😂🤣🤣😂
2025-08-19 08:13:41
0
JReborn Households :
SS wamepewa 3 PE lessons 😂😂😂
2025-08-18 16:58:39
0
purie❤️ :
🤣🤣Mtu wa mwisho kutoka kenya make sure umezima stima
2025-08-18 10:28:40
12
railiza715 :
Hata hiyo ya CRE nimewaongeza
2025-08-18 19:07:11
1
abawa🌹🥂🥂 :
No way PE lazima tukule😂
2025-08-18 14:02:04
2
maureennzulah :
🤣🤣 nilikua nanyima my gal football and the way she is good at it,,nimeachaaaaa🤣🤣🤣🤣
2025-08-18 10:58:30
11
user6080146297691 :
sawa,,sisi kama walimu wa maths we surrender to PE
2025-08-18 10:57:42
1
makadhanja :
kunga ni lini ?
2025-08-18 11:21:27
0
Ogola Tydøllër :
Sio hata kucheza 90minutes 😂😂😂kuna players wako hapo hawajacheza hata game moja na pesa inaingia tu
2025-08-19 12:33:22
0
@DohtyMelly :
any Js teacher around,,tuwaambie P.E si kucheza ama tunyamaze 🫣🫣
2025-08-19 18:05:00
0
1 law :
And you will be the first to claim the PE lesson 😅😅😅😅 where were we let's continue from where we left 😅😅😅😅
2025-08-25 06:42:57
0
Jmxy :
next year iko kwa syllabus 4 lessons in a week
2025-08-18 11:10:38
2
Vigei :
naskia kutaja
2025-08-18 10:40:32
0
Man colloh :
😂😂😂mwalimu ni Kama Kuna kashetani tu mahali kanangoja tu time ya PE ndo kapoint kanatokea kwa maths ya kumalizwa 🤣🤣🤣 my students will kill me 😂
2025-08-19 16:23:42
0
To see more videos from user @wikiotai, please go to the Tikwm
homepage.