@nelly.jotta400: Atakumbukwa kwa maneno na maagizo yake kwa jeshi lake! Alilitaka jeshi liheshimu raia, na raia walipende jeshi lao. 💪👨‍✈️

Jotta06🇹🇿
Jotta06🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 August 2025 17:43:47 GMT
205577
4426
274
168

Music

Download

Comments

user1690339997598
Salum :
Samia WETU mitano tena tena
2025-09-04 14:47:28
1
benny.madvd
benny madvd :
kama ulimkubali mkuu huyu wa jeshi camanda mabeo gonga like hapa
2025-09-04 18:31:12
43
mr.transporter68
MR transporter :
naungana na wewe sliendana sana na Raisi magufuli kuhakikisha Tanzania inakuwa salama,,,
2025-09-14 13:11:35
1
mzeewakuharibumood
mzee wa kuhalibu mody :
akumbukwe na nini kaka huyu nchi ilikua mikononi mwake akaiachia mpaka leo tunateseka kwani angesema kuanzia leo mimi ni Rais alikuepo nyau wa kumkatalia
2025-09-05 16:39:43
6
chenelo32
Ahimidiwe :
Mzee wangu huyu yaani nitaendelea kumpenda Hadi naingia kaburini hakika kwa hekima uliyo nayo barikiwa sana Mkuu tunajifunza mengi kupitia kwako sisi watoto wako Baba barikiwa sana hatuna neno Mungu akutunze...🙏
2025-08-19 19:06:47
0
user24024190945116
user24024190945116 :
General mzalendo sana MUNGU amlinde na ampe maisha marefu 🙏 🙏🙏
2025-08-20 06:52:42
12
manka.manka98
Manka Manka :
jamani mbona mambo yanazidi kuwa magu tz
2025-09-06 12:06:38
0
mkerew
mkerewe mkara :
ambao atukubali like apa
2025-08-19 05:55:30
12
fabianikashekumat
Fabiani Kasheku matunge :
m sjui unamanusha mwamva huyu kafa au utan
2025-08-28 03:56:15
0
kadogommbaga925
kadogommbaga925 :
Mimi sijaelewa kitu Kuna nini emungu wetu
2025-08-19 04:53:43
1
hongwangtz
HWTZ :
Huyu ndiye aliyetuangusha sasa... Traole aliwezaje😅
2025-08-31 08:57:18
5
yohanachikeki596
yohanachikeki596 :
hata huy kwa nafac yake aliteka watu na kupoteza watu ila uzur kila mty anakufa tu hata kama ataua
2025-08-20 09:45:20
0
user1628018139206
user1628018139206 :
hakuna cdf mshamba na aliyeingizwa mkenge kama mabeyo shida kubwa unazunguka hk na kule Sana pesa, pesa pesa yy ajaongwa na watu lkn msuguri alimlinda mzanaki wa kwao mpaka mwisho huyu msukuma alishi
2025-09-06 21:11:38
0
user8168078834015
jack :
kafanyaje mnazingua
2025-08-19 02:54:21
0
makilikili15
makilikili1 :
jamani mbona hivi tena kwa nikweri kwaamaana gari rakijeshi iliposutia juzi likiwa limebeba mawili na muzinga wa mabomu basi mwanaripota wetu kigogo ndoo hiki ulicho tujuza
2025-08-19 03:31:29
0
skyrocket234
@ ed_Xen 23 :
Mbona mnapiga nyimbo za huzuni? 😳😳
2025-08-19 16:04:10
1
malemikashonele
malemi :
alishidwa kupindua inchi kipindi magufuli anafaliki sasa acha tuteseke wa tz
2025-09-02 06:23:10
1
admusic075974
Ad music Babu mshauri w vijana :
dah hakika aisee dah polisi sahv mitaani wanawafanya vijana WA boda boda kama wezi ukikutana na asikari sahv mitaani shida bars baran shida yaani MH hapana AISEE Hadi tunamchukia mama kama NN Hivi maana dah watu hatunauhulu jamani nyie sahv dah 😭 tz imehalibka
2025-08-20 07:35:37
3
patrickbenjamini
PATRICK BENJAMINI :
mimi namkubali sana huyu mzee wetu
2025-08-24 08:09:17
1
wenya.elias20
musa :
kabisa
2025-08-18 18:07:39
0
bulayak0
King Bulaya 👑 :
kwa kulikon kwa atakumbukwa mbn mnatupa hofu?..
2025-08-19 04:42:21
0
fanuelmziray1
Edward mziray :
Alifanya fear sana ingekuwa mwingine asingekubali kukabidhi nchi...kitu ambacho kimetucost mpaka leo hii.
2025-08-22 16:48:31
1
marcello_sports_outfits
Marcello sports outfits :
mkulungwa wetu op mabeyo kwa heshma🫡
2025-08-19 18:59:46
1
To see more videos from user @nelly.jotta400, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About