@jiya_tope: Kenya 🇰🇪 vs Madagascar 🇲🇬 Prayers #CHAN2024

JIYA
JIYA
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 21 August 2025 07:08:50 GMT
114234
8618
809
263

Music

Download

Comments

neema.ibu
Neema Ibrahim ❤️ :
mungu gani mnamuomba nyinyi nyau
2025-08-22 05:55:22
1
yahya.juma.mussa
Yahya Juma Mussa :
madagacka.piga.hao.mmbwa.wa.kasongo.🤣🤣
2025-08-21 18:47:42
1
christogon26
CHRIS👑 :
Wakenya Rudini kwenye maandamano 😂😂😂 Mpira sio kazi yenu, Nyie ni watu maneno mingi mpka mna Ingia Piriod (Mnanyesha kisa Tz🇹🇿) Makende ya Nyanii ubwaaaa nyieeeeeeeee
2025-08-22 18:13:58
1
cather2254
Cather :
Kenya wafungwe 5 zinawatosha maana kimdomo sanaaaaaa
2025-08-21 17:26:20
11
jemeli51
kiplalang daughter 💖💖 :
kenya 2 ;0 Madagascar
2025-08-21 16:14:36
74
musomi18
musomi18 :
We're going to win 🏆 in Jesus might name 🙏
2025-08-22 03:21:47
43
lydia.ca.dad
Lydia ca dad :
prediction kenya 2:Madagascar 0,,,,,,in Jesus name 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2025-08-21 22:41:28
7
lizbelleza32
lizbelleza :
Mungu usituhaibishe aki tupe ushindi Kenya
2025-08-22 06:18:14
10
getrudemercedes
Getrude Mercedes :
Mungu ni wa Africa nzima sio wa nchi moja😂
2025-08-23 17:05:52
1
majuale00
majuale🇹🇿🇹🇿🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
Wakunya msiposhinda hii mechi niyawashangaa.Dhidi ya Angola MLI cheat. Mli manipulate VAR.Angola iliwafungeni 2-1.
2025-08-21 11:38:09
1
davidmoses792
Davidmoses :
mtafungwa
2025-08-21 17:47:35
1
upendonashfergmail.com
upendonashfergmail.com :
kama ngoma Leo ai mlipiga Kelele week mzima kuisema vibaya tz mnafungwa kama ngoma
2025-08-22 09:17:52
0
user4358361374073yoram
yoram :
Mna muomba mungu uku mna mwombea mabaya ndugu yenu mabaya 🤣🤣
2025-08-21 15:57:48
2
dorcasstella58gmail.com
Kana stella🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
I have faith that harambee stars will win...May Lord be with them ❤️
2025-08-21 10:07:03
197
nicky82198
@Nicky254 :
😭😭😭😭😭😭 afadhali mngekaa na iyo maombi sasa wabongo tutawaambia aje
2025-08-22 18:48:03
1
carolchac
carolchac :
Leo Kenya tutachapwa 😂😂
2025-08-22 06:45:10
1
ommytzu
ommy kisondo :
Mtapigwa kama ngoma na Madagascar
2025-08-21 17:29:02
1
moraamaisa
moraa maisa :
mungu atutangulie sisi kama wakenya tuweze kushinda sababu Ile kiburi tumekua nayo ni vile tunajiamini amin
2025-08-22 05:55:29
12
sonraph
#zanzibar sea moss (son raphs) :
alafu wakenya wamefanya serious mjue
2025-08-21 14:40:16
3
annitaunfiltered
Annit❣️ :
watanzania wanaeza buy ticket zetu🤔
2025-08-21 17:57:37
7
matei.zephania
10 MATEI 🛸 :
kenya 0][2 madagascar🤝🥰
2025-08-22 04:05:58
2
lynnieanthony
lynnieanthony :
Mungu kumbuka nchi ya Kenya jinsi ulivyo nakumbuka Wana Israeli, mechi Na ushindi si wetu Bali Ni wako Baba..tutakapo shinda tutakupa Sifa Na utukufu. Katika Jina La Yesu Kristu 🙏
2025-08-21 21:59:33
4
lyd200
Lydiah :
sioni tukitoboa hii waaah
2025-08-21 23:46:06
2
user40354684598086
user40354684598086 :
hatamuombe Na nyanyayenu lazimakichapo mpate 😂😂😂😂😂😂
2025-08-21 19:17:52
1
verolmutuku
Queenter ❤️‍🔥🫀👌💯💘 :
baba mwenyezi Mungu nenda ukaitagulia iko mikononi mwaka 🙏
2025-08-21 09:54:00
7
To see more videos from user @jiya_tope, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About