@fude_frankie: Replying to @m.a.l.u.m.e726 Boda kamwaga moto sio poa🙌🙌🙌#travel #tranding #tiktokindia #trend #fyp

Fude_Frankie.
Fude_Frankie.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 August 2025 10:19:07 GMT
232207
6396
160
89

Music

Download

Comments

gostrider327
Gee😎 :
Hiyo ni synoray 6 gear speed
2025-08-22 12:46:47
40
hggf434
' :
2025-09-26 10:04:24
5
barickandrew
barickandrew :
eeee kunajini imepita mapaka mavuzi yangu yamesisimka
2025-08-24 12:05:04
0
gib.son75
Gib Son :
hamjagusa moto huo wa sinoray babake
2025-08-22 13:47:16
8
johaness2005
Johaness 2005 :
kama michezo huiwezi ??🤣🤣
2025-08-23 20:04:59
0
user4811698275021
abdi :
na apo ndo hajui Kama anakimbizwa😁😁
2025-08-23 07:17:37
10
starboymapete
classic_tz :
Ebu Vuta Picha Tu Uyo Bodaboda Ndio Kakwapua Simu Yako 😂😂😂
2025-08-22 13:38:28
32
kingluhumbila
KING LUHUMBILA 👑💎💎 :
dah kuna boda na kuna huyu Jamaa😂😂😂
2025-08-22 13:06:48
1
michael.onyango25
Michael Onyango :
Huyo WA boda akijua Tu mnarace,ata number plate hautasoma😅😅😅
2025-08-23 19:11:11
4
haliliboyjr
mr halili :
uyu boda apewe kazi serikali au akaendeshe gar za magazeti🔥🔥😂😂😂
2025-08-22 13:10:37
7
user7330117171176
muuh :
SIJUI NI KWANINI NIKILALA NA MWANAMKE LAZIMA APATE KAZI ULAYA🤣😂
2025-09-02 09:21:02
0
antaxmirrocal
Antax47 :
kumbe mlinirecord tena na sinoray yangu🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭
2025-08-22 13:48:29
5
selanyik
SELANYIKA :
Ukute kachora maporini unajuwa yuko mbele
2025-08-22 17:54:05
6
b.boe7kivuro
bvax.boe7 :
oya fude ungenipanga kama unanirekod ningeongez mwend ili wa2 waxione preti number ya boda langu maan bi mkubwa kanipigia cm daaaah
2025-08-24 13:55:10
9
yuzzo304
Yuzzo msela safi 4👊 :
wanao sema hawakumkamata tukutanee hapo🤣
2025-08-23 14:50:50
11
thomasjg22
MICHU G1 :
na apo bado ajakaa kisamaki ingeisikia tu ilikuwepo
2025-08-22 16:27:37
3
papaavesso
PAPAA VESSO :
sinoray
2025-10-13 09:28:37
0
keenperson97
KEENPERSON :
hmna kitu speed ya kawaida,video mnaispeed tu
2025-08-26 17:41:01
0
muharamibingwe202
Muharam @ :
kudadadeki
2025-10-12 11:35:38
0
user391576338102
Michael majegelo :
ulikua ukimrecod ulikua unausafr gan Baiskel au
2025-08-22 18:03:14
2
mr_smile_tz
Mr Smile Tz :
just Imagine huyo boda sio wa arusha angekua wa arusha sijui ingekuaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-23 09:10:02
0
kipoyakiller
Kipoya Killar Edu :
Sinyo Timing Afu Iwe Gear6 Afu Speed 250 🔥🔥🔥🔥😂
2025-08-23 10:46:19
1
user5601421942703
frank lee :
waaa anatembea na geya ngapi mwendo uyo wote
2025-09-08 17:20:05
0
.clinton104
@CLINTON::104 :
BAKORA KWA MSTARI
2025-10-08 14:14:42
0
sammakompyuta
SAM MAKOMPUTER-MAHENGE E. co :
sinoray 180.6 timing chain
2025-08-24 12:58:38
0
To see more videos from user @fude_frankie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About