@hello.fashions: Kujeni ata mtusumbue 🥰😂😂location: platinum plaza 4th floor shop 404 along Tom Mboya street #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #fyyyyyyyyyyyyyyyy #trendingvideo #goviral

Hello Fashions
Hello Fashions
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 22 August 2025 16:05:21 GMT
153618
1699
155
72

Music

Download

Comments

tabitha.wairimu4
Tabitha Wairimu :
unaeza niletea kesho? na hutawai muona tena
2025-10-09 10:35:19
2
user21241achibest
achibest :
post nguo na Bei alafu Fanya delivery pia juu naona ziko smart 🥰
2025-08-23 14:14:31
1
688kemei
carolkemei {Ck} :
Sumbua hiii🤣🤣
2025-08-23 19:45:21
1
emmyloveoo
Emmah collection :
how much the first one
2025-08-24 05:01:46
0
njerigashery
njeri gashery :
wa tatu👌
2025-08-22 18:41:51
1
user44260803282386
user44260803282386 :
Kesho Nita fungua kama utakuwa hai
2025-08-25 13:47:09
0
emily_kiniti
Emily_kiniti :
mko located wapi
2025-08-23 13:44:42
1
gaz.fashions
Gaz Fashions :
Aki hii ni ukweli kabisa🤣
2025-08-22 21:04:51
2
ronowinnie
winnyRonoh :
the second dress Ni how much?
2025-08-23 15:57:46
1
millicentachieng08
Millicent Achieng475 :
mko na bwana ya wenyewe 🤣
2025-08-23 14:16:05
15
sandie_815
Sherrie Beryl :
Nitakuja kuulizia biker nione umekasirika ntakulima ngumi😂
2025-08-25 20:25:12
1
maggie.kariuki6
Maggie Kariuki :
😂😂😂surely
2025-08-24 09:04:10
1
angelfidy
Fidelis Mburu :
🤣🤣🤣 kamisi tena
2025-08-23 11:51:15
2
castykawira4
CASTY THE AGRONOMIST :
huwezi niuzia 500 nikupromote 🤣
2025-08-23 11:25:27
8
wasikesounds
Wasike🇰🇪 Sounds 🎹🎤🎧🥁📀 :
hii dress bila shape kama ya huyu sa zingine ni ngumu
2025-08-23 06:38:47
1
mrs..arnold..mrima
Mama Ellen.. :
Advertising imeenda group of schools
2025-08-25 22:56:16
2
cutiegal69
May12❣️ :
I'm in love with your handbag..ulibuy wapi momma🥰
2025-08-23 21:05:19
0
sayonavickersrebo
[email protected] :
huyo customer ni Mali safi💞💞💞
2025-10-20 10:54:49
0
rtenny1
rtenny1 :
mko Na Viatu 🤣🤣🤣
2025-08-25 10:46:12
1
bellaqueen609
Queen bee :
Mwingine atauliza mko na viatu za wanaume?🤣🤣
2025-08-23 15:46:45
0
tabitha.wairimu4
Tabitha Wairimu :
na mko expensive..🤣🤣
2025-10-09 10:35:35
0
sharronnekilachei
sharonne :
🤣🤣🤣🤣🤣kamisi uvalie api jameni😂😂😂,nitakuja uniuzie mbili mbili na thao
2025-08-22 17:03:32
1
jeridah.namurwa
Jeridah Namurwa :
Ingia live
2025-08-23 07:18:40
1
wambui711
Ruth wambo :
utaniuzia kama hiyo ya customer wa kamisi
2025-08-24 12:04:33
4
anthonynjuguna41
anthonynjuguna41 :
Bibi yangu mnafanana tabia anataka tukuje tusumbue mkiboeka tununue duka next.
2025-08-23 21:40:18
1
To see more videos from user @hello.fashions, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About