jifunze kufunga mtu wako kaka,anakuwacha aende wapi,siku hizi mtu ni mmoja na chapter closed, wangu hapa anajaribu nje haisimami, ikabidi atulie kwangu
2025-10-03 07:28:41
2
The_real_momaryana❤️ :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Nalia tu kwahasira 😭😭😭
2025-09-26 15:34:34
6
paschal jr :
dah unanikumbuxha machungu broo 😢😢😢
2025-09-28 17:24:45
4
star girl ¥🌟 :
mapenzi ni safari ndefu ndugu safari bado😂😂
mimi nililia nikazoea🥲
2025-10-01 13:26:36
5
❤️Rich Wife💕 :
Nimeachika jana tu🥺
2025-09-13 05:39:41
5
@Ney~225 :
Tafuta tyu bunduki🤣
2025-09-08 20:35:31
1
zuuh hamis🌹 :
Polee ushuke sasa apo 😆😆
2025-09-04 18:42:11
1
Mrs __♥️♥️ :
Mm Leo nimelia sasaiv nacheka tu😂😂😂
2025-09-25 20:27:06
4
Glow Ria✨ :
Mimi aliniambia Mercy ataishi na Wanawake wengine kumi wenye nitaoa😭😭😭😭😭😭💔 nililia kutoka Nairobi Hadi kwetu Matunda