@mwalimuskate07: hii ni subject gani na nini ulifanya hapa huwezi sahau #teachersoftiktok #funnyvideos😂 #viralvideos #funnytiktok #commedy

Mwalimu_Skate
Mwalimu_Skate
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 29 August 2025 18:13:10 GMT
286886
6416
616
1171

Music

Download

Comments

nexustiger4
gamer254 :
aki hii ni chemistry, na mara ya Kwanza Kufanya titration na pipette nilikunywa solution, 🤣🤣🤣🤣
2025-08-29 18:31:22
83
ibnally.officially20
عبد الرزق ابن علي :
Chemistry na tunaapply kwenye kunywa juice kwa mrija 😆😆😆
2025-09-11 13:32:15
8
user77381006145516
Breezy :
hiyo ni Chemistry nani volumetric analysis hiy
2025-10-15 20:06:36
0
bashkajr13py
Bashir🤦✌️🌍🤘 :
laboratory in project ( science)
2025-10-14 09:23:24
0
kornelil
Korneli :
Wale wa kungoja wengine wakunywe alafu twende tuchukue answers tuko wapi🤣🤣🤣
2025-08-30 06:58:05
81
oraojnr002
💥Orao j💧n💧r💫 :
wale wakutulia kwa stool wakiwait answer wako wapi
2025-09-13 10:37:00
13
o.s.faustine
FAUSTINE 🇰🇪 :
hii ndio ile tulikua tunaita chloroplast 😇
2025-09-01 23:00:11
3
user23818561036057
asymii :
chemistry at laboratory in form3 class
2025-09-01 09:51:51
7
1893jasmine
sickdocta❤️‍🔥 :
CRE ama🥺
2025-08-30 16:15:50
0
user5931401037204
kifwemichael :
chemistry
2025-09-10 12:52:47
2
user7044042104725
nurse Florence 💕💕💕💵💜💜💜 :
chem
2025-08-29 19:17:03
2
rebecamwambwalo
Rebecca22 :
nilimeza acid
2025-09-12 09:29:06
0
mercyjeruto9880
Mercy254💓 :
hii ni diffusion ama
2025-09-02 19:32:00
1
fatuma..mahat
fatuma mahat ❤️ :
it applies uki kunywa yoghurt ama😳😂😂🤔
2025-09-01 16:12:06
2
zubeid2
zuuh ❤🌹 :
chemistry.topic volumetric analayiss
2025-09-13 17:41:34
5
user8310194843814
varl vallarian :
Chemistry titration wee nikiona hii nakumbuka nilipita na HCL wee
2025-09-01 10:51:17
1
userkula23
Kulla Roba :
If your not accurate lazima utakunywa hio HCL
2025-08-30 05:53:26
2
husseinariana549
Ariari :
aki walaiii chem Ina mambo mm nilivruta hydrochloric acid ulimi yangu ilichomeka Hadi nikatoka exam room😂🤣🤣
2025-08-31 11:28:19
1
its.fay87
it's fay💚 :
chem titration
2025-08-29 19:16:31
4
rebeccahmwikali
Rebeccah :
it applies ukikunywa youghat
2025-08-29 21:12:29
1
ohmyklein
Ohmy Klein :
chem walai nlikunywa nkaambiwa nikimbie kitchen nipewe maziwa
2025-08-29 20:44:36
2
karey3678
Karey :
Hii ni French 😊
2025-08-29 21:52:02
1
peris_bella
Bella :
chem😅
2025-08-29 19:05:18
1
nexustiger4
gamer254 :
nilihisi kama nimekunywa HCL na nikapata injuries ,then after hapo Mimi na chemistry ,Kwanza ikifika practicals , tukakuwa ni stima na maji.😃
2025-08-29 19:01:54
1
h.kenne
African prince @1 :
Apply in real life ukikunywa soda na straw 🤣😂
2025-08-30 09:37:32
4
To see more videos from user @mwalimuskate07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About