@nairobi_express: Lady Narrates How Super Metro Driver Slowed to 20kph From Juja to Thika After Passenger Complained of Reckless Driving. Video Courtesy: @The people 🚨 ▶️Nairobi_Express ▶️Nairobi_Express ▶️Nairobi_Express #nairobiexpress #kenyatiktok #nairobitiktokers #foryoupage❤️❤️ #thikatiktokers
angesemamisha mubay snacks Na soda ndio muendelee Na safari
2025-08-31 06:15:27
0
Gerald-SparksAuto :
wish ingekuwa mnaenda job asubuhi😂😂😂
2025-08-30 06:24:13
3007
thelanis2 :
baaassss "kuliletwa mojinga , muliambia mojingaa" kwa Ile voice unajua pia 😂😂😂
2025-08-30 03:32:43
734
annie_ :
It’s called malicious compliance
2025-08-30 06:38:00
1598
@MaLyon :
You all supporting the driver its wrong, why can't he just use the normal speed ya 80km/h . Nothing like malicious compliance hapa, ujinga na upumbavu, kenyans mnapenda sana to settle for nonsense, kama hataki kazi aache mtu mwingine atafanya
2025-08-30 08:03:19
235
Neshtrendy :
sasa mbio hamtaki slow hamtaki sasa mnataka aje
2025-08-30 05:38:57
849
Sir fidel :
I support the driver 😂😂 customer is always right
2025-08-30 06:37:53
2002
annietymez 01 :
na mwenye alikuwa anacomplain speed alisema aje after 😂😂😂😂😂
2025-08-30 10:55:42
120
liryctosh :
Huyo driver apewe Badges... hiyo ni customer service🔥🔥🔥
2025-08-31 04:04:30
222
freddy🌡 :
aliletewa "ndumiriri"😂😂
2025-08-30 05:36:07
471
shiku :
😂😂😂😂😂😂 I wish ningekua kwa hiyo gari ningecheka Hadi tufike ..juu Niko sure mwenye complain hakuongea tena
2025-08-30 08:38:45
451
leopard254 :
Then ilikuwa trip ya mwisho ya kufunga kazi ,makofi tena 😂😂
2025-08-30 06:01:32
570
@queen :
Kuna North Rift tulipanda from Nrb to Eldy. Dere alikuwa anaenda teke teke karibu agongeshe gari kwa truck... Wee tulimzaba, makofi tukamshow ache upuzi
if an accident happened and you all died then what... that man who complained did right..but mimi ningeshuka coz hakuna kitu mbaya kama ku deal na mwanamume ako na emotions😂😂